Wengi ni wageni... especially dirty and armed robbery.Hao wahalifu ni wageni tu ?...
We umeandika bila mahesabu, ukisema " miafrika" unamaana ipi hasa?! Unajua ukiangalia Ethnic groups ya bondeni wazawa weus ndo weng na ndo waharifu wakubwa haoHakuna kitu kama hicho... danganya danganya tu.... Sababu kubwa ya crime SA ni miafrika yote kujazana ..... hawan vibali Joburg Kuna wageni wengi kuliko wenyeji...
Yani kwa Kiswahili ni sawa umesema Dar es salaam na Manzese tofauti yake!Johanesburg and Sandton Tufauti yake
Amin bab, unacompare mbeya city na Tanzania which is whichYani kwa Kiswahili ni sawa umesema Dar es salaam na Manzese tofauti yake!
Unasahau Dar es salaam sio Mtaa, sio eneo...
Hii inaonyesha wengi wenu humu hampajui Dzonga!
Story za kuhadithiwa mnazileta hapa.
Yani kwa Kiswahili ni sawa umesema Dar es salaam na Manzese tofauti yake!
Unasahau Dar es salaam sio Mtaa, sio eneo...
Hii inaonyesha wengi wenu humu hampajui Dzonga!
Story za kuhadithiwa mnazileta hapa.
sory Hillbrow na SandtonYani kwa Kiswahili ni sawa umesema Dar es salaam na Manzese tofauti yake!
Unasahau Dar es salaam sio Mtaa, sio eneo...
Hii inaonyesha wengi wenu humu hampajui Dzonga!
Story za kuhadithiwa mnazileta hapa.
Mtu akija Dar na akafikia Kinondoni anaweza kujiaminisha kwamba Wacongo ni wengi Kinondoni kuliko Watanzania ndicho unachojaribu kuwaaminisha watu hapa.Hakuna kitu kama hicho... danganya danganya tu.... Sababu kubwa ya crime SA ni miafrika yote kujazana ..... hawan vibali Joburg Kuna wageni wengi kuliko wenyeji...
and all these foreign nationals have got no papers, majority are rejects in their countries and are drug dealers.
Jozi imeharibiwa na wageni... nenda Hillbrow utakutana na wahuni wote wa Kariakoo na miNijeria imejazana. Na Hawa ndio wezi wa kutupwa. Tusiwalaumu Wasouth kwenye hili... wakijaribu kuchukua nchi Yao tunasema ni mibaguzi. Is it even fair? would Tanzanians allow such huge number of foreign nationals in their capital, Dar es Salaam? South Africans are so creative and intelligent. Wqmeshindwa kucontrol nchi Yao sababu ya wageni.... na Sasa hivi nadhani wageni ni wengi kuliko wenyeji... na wakianza kuwafukuza utaskia tuliwasaidia kupambana na ubaguzi... viongozi wanakuwa wapole.
Nina mengi ya kuandika saana maana niweza kujionea kwa macho yangu.
Nimekaa 4 yrs. Nilifikia Hillbrow then Sunyside Pretoria kisha Sandton. So napajua South Kuliko Maelezo. Hillbrow nilikuwa nakaa Flamingo Hotel Jengo la Tatu toka Mnara unaoitambulisha Johanesburg. Kanisa nililokuwa Nasali hizi ndo picha za baba Askofu wetuYani kwa Kiswahili ni sawa umesema Dar es salaam na Manzese tofauti yake!
Unasahau Dar es salaam sio Mtaa, sio eneo...
Hii inaonyesha wengi wenu humu hampajui Dzonga!
Story za kuhadithiwa mnazileta hapa.
Hakuna watu Primitive kama Wazulu, wizi wa magari umeletwa na Wamashangani (Wamozambique) na Wandebele ,(Wazimbabwe) na kimsingi hawa wanaishi kama wenyeji maana makabila yao hapo pia South Africa kama wadigo wa Mombasa na wadigo wa Tanga, au Wataveta au Wamasai, au wajaruo, au wamakondo au Wanyasa hizo ni Kabila ziko upande zote za nchi zinazopakana hata South Africa iko hivyo.Hao wahalifu ni wageni tu ?...
Umekaa jimbo moja tu la Gauteng Province halafu useme unaijuwa South Africa hivi ni vituko navyo.Nimekaa 4 yrs. Nilifikia Hillbrow then Sunyside Pretoria kisha Sandton. So napajua South Kuliko Maelezo. Hillbrow nilikuwa nakaa Flamingo Hotel Jengo la Tatu toka Mnara unaoitambulisha Johanesburg. Kanisa nililokuwa Nasali hizi ndo picha za baba Askofu wetu
Hapo kwenye neno Miafrika umeshindwa kunielewa tu... ila sio tatizo.We umeandika bila mahesabu, ukisema " miafrika" unamaana ipi hasa?! Unajua ukiangalia Ethnic groups ya bondeni wazawa weus ndo weng na ndo waharifu wakubwa hao
South ni moja ya nchi duniani zenye uhalifu na mauaji kwa kiwango cha juu sana. Level za Brazil na USA. Siyo salama kabisa hiyo nchi.
Black race sijui ina shida gani?Pia wazawa awapendi Kazi zaidi ya pombe na ngono na hivi havipatikani bure.
South african hawana tofauti na black american wote Wana characters moja.
Mtu akija Dar na akafikia Kinondoni wanaweza kujiaminisha kwamba Wacongo ni wengi Kinondoni kuliko Watanzania ndicho unachojaribu kuwaaminisha watu hapa.
Nikikuuliza umewahi kufika Soweto jibu utasema hawana, Sasa kwa taarifa yako Soweto ni kubwa kuliko Dar na ndio makazi ya wazawa.
Mirefu cha Soweto ni South and west township, ni kubwa mno.
Hakuna mzulu original wa kukaa Hillbrow alipe apartment bei kubwa wakati wanaweza kuishi kwenye nyumba yake location na akitaka kuja down town Metro train za umeme zipo.
Hata Tanzania hakuna Watanzania wa kawaida wanaishi kwenye maghorofa ya town, huko wamejaa wahindi na wazawa wachache wenye Moshe za kueleweka.
Ingekuwa ni kweli Johannesburg wageni ni wengi kushinda wenyeji basi ile oparesheni dundula wageni wangekaza wapambane na wenyeji na wasingekubali kuuwawa.
Hata Dar kuna watu habari za panya road wanazisoma tu kwenye vyombo vya habari tu hawajui lolote, watu wapo Samaki Samaki SAA hizi wanakula shangwe au wavuvi huyo panya road anatoka wapi?
Ni kweli Dzonga wageni ni weng na ndo wanaharibu hata baadh ya ustaarabu wa ile nchi ila Wazawa nao wanadedisha nomaaHapo kwenye neno Miafrika umeshindwa kunielewa tu... ila sio tatizo.
Hapo mnaposema Wasouth Africa weusi ndiyo waharibifu wa kubwa ndipo ninapopapinga Mimi.
Miafrika kuanzia Morocco hadi Zimbabwe yote ipo SA. Wengi wao hawana vibali. wametoka nchi zao kuja kutafuta kazi. Elewa hakuna nchi Africa yenye wageni wengi kama SA.
Kinachotokea resources ni chache lakini una kundi kubwa la watu. Lazima purukushani itokee hapa. Hao wageni wanaokuja baadhi wana skills na baadhi hawana. Hao wenye skills watachukua kazi za wazawa na wazawa watakuwa hawana kazi.
Kundi litakalo kosa kazi litajiingiza kwenye shughuli haramu ilimradi linapata chakula. Hawa Wasouth ambao wameachwa hawana kazi watajiunga na Hawa wahalifu wa kigeni na kuendeleza uhalifu.
Kazi zilizopo South Africa zingeweza kutoshea idadi ya wazawa kama wageni wote wasingejazana hapo.
Sasa wa kulaumiwa kwenye hili siku zote amekuwa Msouth Afrika mweusi... ooh mara ni wavivu, wahalifu, wapenda pombe n. k.
Wakati wanapoleta vurugu wanajaribu kutuma meseji kwa serikali Yao iliyoshindwa kucontrol illegal migrants kwasababu inaogopa maneno kutoka kwa waafrika waliowasaidia kupigania uhuru.
Kipindi Cha JK tuliona jinsi wabongo walivyopiga kelele baada ya wachina kuanza kuuza mahindi ya kuchoma mtaani. serikali ilichukua hatua mapema. Tusiwe wabinafsi... Mizimbabwe yote ipo SA na ina Fanya uhalifu wa kila namna.
Nitakueleza kisa kimoja kimetokea Limpopo few months back .. Wazimbabwe waliokaribu na Limpopo hupata huduma za afya South Africa tena bure kabisa. Sasa Dr akachoka maana imekuwa too much na wanaambiana wote wanakimbilia huko maana kwao hakuna hiyo huduma.
Siku Moja Dr akawatolea uvivu... wamekuwa wengi na serikali haiwapi bajeti inayowajumuisha Wazimbabwe. unfortunately, Kuna mtu alikuwa anachukua video . ikasambazwa online.... this lady had to step down... ila kwa mawazo yangu alikuwa sahihi kuwaambia hivyo.
Tatizo lako inaonekana umekariri vitu! Makazi ya kudumu yes Gauteng. Lakini Capetown,Durban, Mpumalanga na kwengineko nimefika na pia short stay za maana! kama umefika South Uwezi shangaa mtu kuishi Hotelini zaidi ya miaka 2 mpaka 6Umekaa jimbo moja tu la Gauteng Province halafu useme unaijuwa South Africa hivi ni vituko navyo.
Halafu bado hujui hata maana ya hotel ni nini na appartment ni nini, hakuna Mgeni yoyote anaweza kuishi hotelini, labda vacation short stay tu.
Mimi bahati nzuri nimepata fursa ya kuzunguka hiyo nchi, hapo Johannesburg wazungu walishaachana na hiyo city center miaka mingi sana tangu utawala wa wazungu.Matola, Hillbrow Kuna mchezo mchafu unaochezwa hasa na Zimbabweans wa kuteka nyumba na kuishi bure bure.... ndiyo maana ukipita hapo Sasa hivi maghorofa mengi yametelekezwa. Mengi hayana umeme n.k.
Wamiliki wamesha give-up. Operation Dudula imeshindwa kufanya kazi sababu kubwa Wasouth wamegawanyika. Malema anaichukua hii opportunity to gain political popularity.... nothing else.
City center ya Jozi Ina megeni mingi kuliko wazawa... ukiniuliza data sina. Kwa report tu iliyofanyika siku Moja waligundua wageni wanaopita Beitbridge kwa siku ni mia mbili lakini sitini wanarudi. 140 hubaki ndani ya South Afrika.
Nikirudi kwenye mada... Uhalifu wa SA unasababishwa na wageni kwa asilimia nyingi nyingi saana.
Kweli kabisa SA ina fursa nyingi sana. Sio lazima uuze Unga au Simu za wizi, Kuna fursa nyingi tu halali zinazoweza kukutoaDzonga dzulu
Kuna lesson kubwa sana ya maisha pale
Niliishi zaidi ya mwaka nimejifunza mengi
lakini kwa sasa naona pale kuna fursa kubwa sana ya kutoboa
Mwanzo ugeni na kutoelewa lakini nataka niende tena kubadili mentality ya wabongo wengi kwamba ili utoboe lazima uuze unga na skanka
Sawa kijana unajuwa sana, hata Mimi SAA hizi nakwenda kula hotelini kwa mama ntilie.Tatizo lako inaonekana umekariri vitu! Makazi ya kudumu yes Gauteng. Lakini Capetown,Durban, Mpumalanga na kwengineko nimefika na pia short stay za maana! kama umefika South Uwezi shangaa mtu kuishi Hotelini zaidi ya miaka 2 mpaka 6
Nimeishi Johannesburg soweto, huko wanakoishi Wazulu Og, najua Life style ya Johannesburg,, nimeishi Broemfonteen - free state, huko wanapoishi Wasuthu Og mixer na Warangirangi, na hivi naandika hii comment nipo Cape town - Mitchell plain....!Nimekaa 4 yrs. Nilifikia Hillbrow then Sunyside Pretoria kisha Sandton. So napajua South Kuliko Maelezo. Hillbrow nilikuwa nakaa Flamingo Hotel Jengo la Tatu toka Mnara unaoitambulisha Johanesburg. Kanisa nililokuwa Nasali hizi ndo picha za baba Askofu wetu