Maisha ya Afrika Kusini siyo poa

Maisha ya Afrika Kusini siyo poa

Hao wahalifu ni wageni tu ?...
Wengi ni wageni... especially dirty and armed robbery.

Kwani Kuna nchi isiyo na wahalifu? Jibu ni hakuna. Hivyo hata Wasouth wahalifu wapo.

Sasa tunajadili kwanini imekuwa kwa kiasi hicho hapo SA...

Mitanzania inatoka Kariakoo haijui inaenda kufanya nini SA! Kwasababu ya soko la ajira kubana ... for the survival wanaengage kwenye uhalifu.... Hao ni wabongo tu Kuna Mikenya, Nigerians, Zimbabweans... kila nchi ipo SA.
 
Hakuna kitu kama hicho... danganya danganya tu.... Sababu kubwa ya crime SA ni miafrika yote kujazana ..... hawan vibali Joburg Kuna wageni wengi kuliko wenyeji...
We umeandika bila mahesabu, ukisema " miafrika" unamaana ipi hasa?! Unajua ukiangalia Ethnic groups ya bondeni wazawa weus ndo weng na ndo waharifu wakubwa hao
 
Yani kwa Kiswahili ni sawa umesema Dar es salaam na Manzese tofauti yake!

Unasahau Dar es salaam sio Mtaa, sio eneo...

Hii inaonyesha wengi wenu humu hampajui Dzonga!
Story za kuhadithiwa mnazileta hapa.

sory Hillbrow na Sandton
 
Hakuna kitu kama hicho... danganya danganya tu.... Sababu kubwa ya crime SA ni miafrika yote kujazana ..... hawan vibali Joburg Kuna wageni wengi kuliko wenyeji...

and all these foreign nationals have got no papers, majority are rejects in their countries and are drug dealers.

Jozi imeharibiwa na wageni... nenda Hillbrow utakutana na wahuni wote wa Kariakoo na miNijeria imejazana. Na Hawa ndio wezi wa kutupwa. Tusiwalaumu Wasouth kwenye hili... wakijaribu kuchukua nchi Yao tunasema ni mibaguzi. Is it even fair? would Tanzanians allow such huge number of foreign nationals in their capital, Dar es Salaam? South Africans are so creative and intelligent. Wqmeshindwa kucontrol nchi Yao sababu ya wageni.... na Sasa hivi nadhani wageni ni wengi kuliko wenyeji... na wakianza kuwafukuza utaskia tuliwasaidia kupambana na ubaguzi... viongozi wanakuwa wapole.

Nina mengi ya kuandika saana maana niweza kujionea kwa macho yangu.
Mtu akija Dar na akafikia Kinondoni anaweza kujiaminisha kwamba Wacongo ni wengi Kinondoni kuliko Watanzania ndicho unachojaribu kuwaaminisha watu hapa.

Nikikuuliza umewahi kufika Soweto jibu utasema hapana, Sasa kwa taarifa yako Soweto ni kubwa kuliko Dar na ndio makazi ya wazawa.

Kirefu cha Soweto ni South and west township, ni kubwa mno.

Hakuna mzulu original wa kukaa Hillbrow alipe apartment bei kubwa wakati wanaweza kuishi kwenye nyumba yake location na akitaka kuja down town Metro train za umeme zipo.

Hata Tanzania hakuna Watanzania wa kawaida wanaishi kwenye maghorofa ya town, huko wamejaa wahindi na wazawa wachache wenye Moshe za kueleweka.

Ingekuwa ni kweli Johannesburg wageni ni wengi kushinda wenyeji basi ile oparesheni dundula wageni wangekaza wapambane na wenyeji na wasingekubali kuuwawa.

Hata Dar kuna watu habari za panya road wanazisoma tu kwenye vyombo vya habari tu hawajui lolote, watu wapo Samaki Samaki SAA hizi wanakula shangwe au wavuvi huyo panya road anatoka wapi?
 
Yani kwa Kiswahili ni sawa umesema Dar es salaam na Manzese tofauti yake!

Unasahau Dar es salaam sio Mtaa, sio eneo...

Hii inaonyesha wengi wenu humu hampajui Dzonga!
Story za kuhadithiwa mnazileta hapa.
Nimekaa 4 yrs. Nilifikia Hillbrow then Sunyside Pretoria kisha Sandton. So napajua South Kuliko Maelezo. Hillbrow nilikuwa nakaa Flamingo Hotel Jengo la Tatu toka Mnara unaoitambulisha Johanesburg. Kanisa nililokuwa Nasali hizi ndo picha za baba Askofu wetu
 
Attachments

  • A8132D31-AF8A-4BEC-9486-07C39E8E6EE6.jpeg
    A8132D31-AF8A-4BEC-9486-07C39E8E6EE6.jpeg
    27 KB · Views: 59
  • 7A8BE323-E7AC-4894-B87E-4C5F89493E40.jpeg
    7A8BE323-E7AC-4894-B87E-4C5F89493E40.jpeg
    33.3 KB · Views: 61
  • 74DFBD6A-9838-4DBF-BE6F-19F3571D4BB1.jpeg
    74DFBD6A-9838-4DBF-BE6F-19F3571D4BB1.jpeg
    20.9 KB · Views: 59
  • 60038940-3EB9-48D4-8CE2-7C7C9EA0F654.jpeg
    60038940-3EB9-48D4-8CE2-7C7C9EA0F654.jpeg
    69.7 KB · Views: 58
Hao wahalifu ni wageni tu ?...
Hakuna watu Primitive kama Wazulu, wizi wa magari umeletwa na Wamashangani (Wamozambique) na Wandebele ,(Wazimbabwe) na kimsingi hawa wanaishi kama wenyeji maana makabila yao hapo pia South Africa kama wadigo wa Mombasa na wadigo wa Tanga, au Wataveta au Wamasai, au wajaruo, au wamakondo au Wanyasa hizo ni Kabila ziko upande zote za nchi zinazopakana hata South Africa iko hivyo.

Kama kuna kitu cha kupewa direct lawama kwa wageni ni drugs, wageni ndio wamechaguwa hiyo nchi kwa madawa hasa hawa wa west Africa.
 
Nimekaa 4 yrs. Nilifikia Hillbrow then Sunyside Pretoria kisha Sandton. So napajua South Kuliko Maelezo. Hillbrow nilikuwa nakaa Flamingo Hotel Jengo la Tatu toka Mnara unaoitambulisha Johanesburg. Kanisa nililokuwa Nasali hizi ndo picha za baba Askofu wetu
Umekaa jimbo moja tu la Gauteng Province halafu useme unaijuwa South Africa hivi ni vituko navyo.

Halafu bado hujui hata maana ya hotel ni nini na appartment ni nini, hakuna Mgeni yoyote anaweza kuishi hotelini, labda vacation short stay tu.
 
We umeandika bila mahesabu, ukisema " miafrika" unamaana ipi hasa?! Unajua ukiangalia Ethnic groups ya bondeni wazawa weus ndo weng na ndo waharifu wakubwa hao
Hapo kwenye neno Miafrika umeshindwa kunielewa tu... ila sio tatizo.

Hapo mnaposema Wasouth Africa weusi ndiyo waharibifu wa kubwa ndipo ninapopapinga Mimi.

Miafrika kuanzia Morocco hadi Zimbabwe yote ipo SA. Wengi wao hawana vibali. wametoka nchi zao kuja kutafuta kazi. Elewa hakuna nchi Africa yenye wageni wengi kama SA.

Kinachotokea resources ni chache lakini una kundi kubwa la watu. Lazima purukushani itokee hapa. Hao wageni wanaokuja baadhi wana skills na baadhi hawana. Hao wenye skills watachukua kazi za wazawa na wazawa watakuwa hawana kazi.

Kundi litakalo kosa kazi litajiingiza kwenye shughuli haramu ilimradi linapata chakula. Hawa Wasouth ambao wameachwa hawana kazi watajiunga na Hawa wahalifu wa kigeni na kuendeleza uhalifu.

Kazi zilizopo South Africa zingeweza kutoshea idadi ya wazawa kama wageni wote wasingejazana hapo.

Sasa wa kulaumiwa kwenye hili siku zote amekuwa Msouth Afrika mweusi... ooh mara ni wavivu, wahalifu, wapenda pombe n. k.

Wakati wanapoleta vurugu wanajaribu kutuma meseji kwa serikali Yao iliyoshindwa kucontrol illegal migrants kwasababu inaogopa maneno kutoka kwa waafrika waliowasaidia kupigania uhuru.

Kipindi Cha JK tuliona jinsi wabongo walivyopiga kelele baada ya wachina kuanza kuuza mahindi ya kuchoma mtaani. serikali ilichukua hatua mapema. Tusiwe wabinafsi... Mizimbabwe yote ipo SA na ina Fanya uhalifu wa kila namna.

Nitakueleza kisa kimoja kimetokea Limpopo few months back .. Wazimbabwe waliokaribu na Limpopo hupata huduma za afya South Africa tena bure kabisa. Sasa Dr akachoka maana imekuwa too much na wanaambiana wote wanakimbilia huko maana kwao hakuna hiyo huduma.

Siku Moja Dr akawatolea uvivu... wamekuwa wengi na serikali haiwapi bajeti inayowajumuisha Wazimbabwe. unfortunately, Kuna mtu alikuwa anachukua video . ikasambazwa online.... this lady had to step down... ila kwa mawazo yangu alikuwa sahihi kuwaambia hivyo.
 
Mtu akija Dar na akafikia Kinondoni wanaweza kujiaminisha kwamba Wacongo ni wengi Kinondoni kuliko Watanzania ndicho unachojaribu kuwaaminisha watu hapa.

Nikikuuliza umewahi kufika Soweto jibu utasema hawana, Sasa kwa taarifa yako Soweto ni kubwa kuliko Dar na ndio makazi ya wazawa.

Mirefu cha Soweto ni South and west township, ni kubwa mno.

Hakuna mzulu original wa kukaa Hillbrow alipe apartment bei kubwa wakati wanaweza kuishi kwenye nyumba yake location na akitaka kuja down town Metro train za umeme zipo.

Hata Tanzania hakuna Watanzania wa kawaida wanaishi kwenye maghorofa ya town, huko wamejaa wahindi na wazawa wachache wenye Moshe za kueleweka.

Ingekuwa ni kweli Johannesburg wageni ni wengi kushinda wenyeji basi ile oparesheni dundula wageni wangekaza wapambane na wenyeji na wasingekubali kuuwawa.

Hata Dar kuna watu habari za panya road wanazisoma tu kwenye vyombo vya habari tu hawajui lolote, watu wapo Samaki Samaki SAA hizi wanakula shangwe au wavuvi huyo panya road anatoka wapi?

Matola, Hillbrow Kuna mchezo mchafu unaochezwa hasa na Zimbabweans wa kuteka nyumba na kuishi bure bure.... ndiyo maana ukipita hapo Sasa hivi maghorofa mengi yametelekezwa. Mengi hayana umeme n.k.

Wamiliki wamesha give-up. Operation Dudula imeshindwa kufanya kazi sababu kubwa Wasouth wamegawanyika. Malema anaichukua hii opportunity to gain political popularity.... nothing else.

City center ya Jozi Ina megeni mingi kuliko wazawa... ukiniuliza data sina. Kwa report tu iliyofanyika siku Moja waligundua wageni wanaopita Beitbridge kwa siku ni mia mbili lakini sitini wanarudi. 140 hubaki ndani ya South Afrika.

Nikirudi kwenye mada... Uhalifu wa SA unasababishwa na wageni kwa asilimia nyingi nyingi saana.
 
Hapo kwenye neno Miafrika umeshindwa kunielewa tu... ila sio tatizo.

Hapo mnaposema Wasouth Africa weusi ndiyo waharibifu wa kubwa ndipo ninapopapinga Mimi.

Miafrika kuanzia Morocco hadi Zimbabwe yote ipo SA. Wengi wao hawana vibali. wametoka nchi zao kuja kutafuta kazi. Elewa hakuna nchi Africa yenye wageni wengi kama SA.

Kinachotokea resources ni chache lakini una kundi kubwa la watu. Lazima purukushani itokee hapa. Hao wageni wanaokuja baadhi wana skills na baadhi hawana. Hao wenye skills watachukua kazi za wazawa na wazawa watakuwa hawana kazi.

Kundi litakalo kosa kazi litajiingiza kwenye shughuli haramu ilimradi linapata chakula. Hawa Wasouth ambao wameachwa hawana kazi watajiunga na Hawa wahalifu wa kigeni na kuendeleza uhalifu.

Kazi zilizopo South Africa zingeweza kutoshea idadi ya wazawa kama wageni wote wasingejazana hapo.

Sasa wa kulaumiwa kwenye hili siku zote amekuwa Msouth Afrika mweusi... ooh mara ni wavivu, wahalifu, wapenda pombe n. k.

Wakati wanapoleta vurugu wanajaribu kutuma meseji kwa serikali Yao iliyoshindwa kucontrol illegal migrants kwasababu inaogopa maneno kutoka kwa waafrika waliowasaidia kupigania uhuru.

Kipindi Cha JK tuliona jinsi wabongo walivyopiga kelele baada ya wachina kuanza kuuza mahindi ya kuchoma mtaani. serikali ilichukua hatua mapema. Tusiwe wabinafsi... Mizimbabwe yote ipo SA na ina Fanya uhalifu wa kila namna.

Nitakueleza kisa kimoja kimetokea Limpopo few months back .. Wazimbabwe waliokaribu na Limpopo hupata huduma za afya South Africa tena bure kabisa. Sasa Dr akachoka maana imekuwa too much na wanaambiana wote wanakimbilia huko maana kwao hakuna hiyo huduma.

Siku Moja Dr akawatolea uvivu... wamekuwa wengi na serikali haiwapi bajeti inayowajumuisha Wazimbabwe. unfortunately, Kuna mtu alikuwa anachukua video . ikasambazwa online.... this lady had to step down... ila kwa mawazo yangu alikuwa sahihi kuwaambia hivyo.
Ni kweli Dzonga wageni ni weng na ndo wanaharibu hata baadh ya ustaarabu wa ile nchi ila Wazawa nao wanadedisha nomaa
 
Umekaa jimbo moja tu la Gauteng Province halafu useme unaijuwa South Africa hivi ni vituko navyo.

Halafu bado hujui hata maana ya hotel ni nini na appartment ni nini, hakuna Mgeni yoyote anaweza kuishi hotelini, labda vacation short stay tu.
Tatizo lako inaonekana umekariri vitu! Makazi ya kudumu yes Gauteng. Lakini Capetown,Durban, Mpumalanga na kwengineko nimefika na pia short stay za maana! kama umefika South Uwezi shangaa mtu kuishi Hotelini zaidi ya miaka 2 mpaka 6
 
Matola, Hillbrow Kuna mchezo mchafu unaochezwa hasa na Zimbabweans wa kuteka nyumba na kuishi bure bure.... ndiyo maana ukipita hapo Sasa hivi maghorofa mengi yametelekezwa. Mengi hayana umeme n.k.

Wamiliki wamesha give-up. Operation Dudula imeshindwa kufanya kazi sababu kubwa Wasouth wamegawanyika. Malema anaichukua hii opportunity to gain political popularity.... nothing else.

City center ya Jozi Ina megeni mingi kuliko wazawa... ukiniuliza data sina. Kwa report tu iliyofanyika siku Moja waligundua wageni wanaopita Beitbridge kwa siku ni mia mbili lakini sitini wanarudi. 140 hubaki ndani ya South Afrika.

Nikirudi kwenye mada... Uhalifu wa SA unasababishwa na wageni kwa asilimia nyingi nyingi saana.
Mimi bahati nzuri nimepata fursa ya kuzunguka hiyo nchi, hapo Johannesburg wazungu walishaachana na hiyo city center miaka mingi sana tangu utawala wa wazungu.

Ukiwa Johannesburg kuna city ndani ya city, kuna sandton City, kuna Rose bank, kuna East land mall ukiwa kwenye miji hiyo ndani ya City of Johannesburg ni vigumu kujuwa kama upo Africa na watu weusi ni wa kuhesabu.

Walichofanya wazungu ni kuprotect miji yao iko safe na hakuna route za Daladala wala treni ili hata kuwafikia uwe na sababu maalum, na wale real estate wote ni wazungu kwa hiyo wanampangisha nyumba mtu wanaomtaka wao, nakumbuka Mimi nilikuwa na Waingereza ndio walikuwa wanapiga simu kutufanyia booking za accommodation maana inaanza kupigwa lini kwenye simu wakisikia lafudhi siyo ya kizungu wanakuchomolea wanakwambia accommodation ziko full booked.

Ukija upande wa Cape town huu mji ni roho ya utalii wa South Africa, huu mji wazungu wameudhibiti vilivyo sana, kwanza Cape town City center ikifika SAA moja usiku hamna watu watu wote wapo kwenye location zao, ukija sea point Sasa ndio utakutana na wageni na wazee wa nyeupe hivyo hivyo mpaka water front.
 
Dzonga dzulu
Kuna lesson kubwa sana ya maisha pale
Niliishi zaidi ya mwaka nimejifunza mengi

lakini kwa sasa naona pale kuna fursa kubwa sana ya kutoboa
Mwanzo ugeni na kutoelewa lakini nataka niende tena kubadili mentality ya wabongo wengi kwamba ili utoboe lazima uuze unga na skanka
Kweli kabisa SA ina fursa nyingi sana. Sio lazima uuze Unga au Simu za wizi, Kuna fursa nyingi tu halali zinazoweza kukutoa
 
Tatizo lako inaonekana umekariri vitu! Makazi ya kudumu yes Gauteng. Lakini Capetown,Durban, Mpumalanga na kwengineko nimefika na pia short stay za maana! kama umefika South Uwezi shangaa mtu kuishi Hotelini zaidi ya miaka 2 mpaka 6
Sawa kijana unajuwa sana, hata Mimi SAA hizi nakwenda kula hotelini kwa mama ntilie.

Kwenye maisha jitahidi kujifunza ukifundishwa vitu usivyovijuwa, unaweza kukaa guest house Magomeni 10,000/= per night lakini ukashupaza shingo unakaa hotelini.

Hujui hata tofauti ya Hostel, apartment, louge, guest house, hotel na studio.
 
Nimekaa 4 yrs. Nilifikia Hillbrow then Sunyside Pretoria kisha Sandton. So napajua South Kuliko Maelezo. Hillbrow nilikuwa nakaa Flamingo Hotel Jengo la Tatu toka Mnara unaoitambulisha Johanesburg. Kanisa nililokuwa Nasali hizi ndo picha za baba Askofu wetu
Nimeishi Johannesburg soweto, huko wanakoishi Wazulu Og, najua Life style ya Johannesburg,, nimeishi Broemfonteen - free state, huko wanapoishi Wasuthu Og mixer na Warangirangi, na hivi naandika hii comment nipo Cape town - Mitchell plain....!

Naweza kutoa uhalisia wa Maisha ya Dzonga coz nimeishi Majimbo 3 tofauti, watu hapa mnatoa Uhalisia wa South africa kwa kile uliona tu Hillbrow.....!
Mnalaumu tu Wageni wageni, hivi mnajua namna Gangstars groups 26, 27 na 28 zilivyochangia kuvuruga Maisha ya South Africa?
Na 99.9% of Gang members ni Raia.
 
Back
Top Bottom