Maisha ya Afrika Kusini siyo poa

tafadhali nifafanulie khs 26 group
 
Umekaa jimbo moja tu la Gauteng Province halafu useme unaijuwa South Africa hivi ni vituko navyo.

Halafu bado hujui hata maana ya hotel ni nini na appartment ni nini, hakuna Mgeni yoyote anaweza kuishi hotelini, labda vacation short stay tu.
 

Attachments

  • 6B774C4D-779B-41D4-8D6B-62E7EDD3F736.jpeg
    54.5 KB · Views: 47
Nina rafiki yangu yupo uko mwaka wa 10 sasa hajatoboa,yupo mwingine uzuri mama yake alikuwa kule kitambo ana biashara ya saloon, jamaa alifikia kwa mama ake akawa anamsaidia akapata demu wa kule baahta nzuri dem maisha safi kwao ndo jamaa akatoboa kwa staili iyo ,ila nchi kuuana nje nje mi siiwezi
 
Khe? Kweli mungu aliumba Dunia na maajabu yake [emoji23]
 
Dah bongo sihami.
 
Kuna dada mmoja alikua classmate wangu Advance. Anaishi huko. Alivamiwa na majambazi, katikati ya kashkash wakamtandika risasi mwanae.
Nchi hiyo ingepata wananchi watulivu kama Watanzani, ingekua mbali zaidi ya hapo ilipo.
 
Ongezea na upatikanaji rahisi wa silaha,madawa ya kulevya,na sheria zao za uhamiaji...
 
80 kama sio 90%
Wanakisia tu inaweza kuwa ni 60%. Japo Waziri wao wa ulinzi ameshasema, tatizo siyo wahamiaji.
Tatizo ni wasouth wenyewe. Katika wahamiaji laki 5 na 44, walio magerezani kwa makosa ya uhalifu, ni 18,000.

Wasouth wako nusu milioni magerezani kwa uhalifu.
Mwezi January na March pekee wanawake 10,000 wamebakwa na wazawa wenyewe siyo wahamiaji.
 
Kuna mdogo wangu yupo huko ana miaka 7 sasa hivi siuni hata kitu cha maana alichofanya kazi yake kupost watoto wake wa kishombembe tu na mke wake mzungu na kuna mmoja alienda hakuwahi kurudi toka aende amerudi mwaka huzi hawezi kuongea wala kutembea maana alipata ajali aka paralyse kaacha mke na watoto huko sauz kaletwa na washikaji tu watanzania wanaokaa huko mke alikimbia akachukua kila kitu amefika Tanzania wakaambiwa wameshachelewa yupo hamjui anayeingia wala anayetoka amekuwa mtoto kila kitu anafanyiwa kiufupi hana chochote alichowekeza Tanzania alikaa sauzi miaka 15 bila kukanyaga Tanzania wapo wengi sana ila sauz sio pakukaa.
 
Nipo Eastern cape kuna mdada kapata tuzo ya ubunifu device ya kukamata wabakaji....kama ushaona Watoto wa shule wa SA wanavyovaa,pia sheria inaruhusu MTU mzima Ku consent kingono na binti wa miaka 16,chini ya hapo Kosa kisheria..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…