Maisha ya Afrika Kusini siyo poa

Masaki na Sandton ni kama kifo na usingizi mkuu, Sandton pazuri sana
 
Uhalifu unakomeshwa kwa kutumia bunduki, ni kuwasaka wakuu wa magenge ya uhalifu na kuwatupa tu baharini. Jinsi ya kuwapata viongozi wao ni kuwasaka wahalifu na kuwapa mateso wanataja baada ya kutaja wanapigwa risasi kisha wanafatwa wengine hivyo hivyo ndani ya miezi 3 wote wameisha ndicho walivyofanya Rwanda.
Huwezi mpeleka mwizi jela utegemee abadilike jela zenyewe ni kama paradise halafu abadilike. Mwizi ni shetani na shetani asikii neno ila bunduki. Wezi wote mtaani wanajulikana na police. Waganga wote uwajua wachawi wote mtaani.
 
Binasfi naona ukiondoa Mandela na Mbeki , marais waliofaata ZUMA na RAMAPHOSA ni majambazi tu , criminals!!!!!!!!
 
Nchi zote za africa ukiacha za kiarabu zina uchumi unaomilikiwa na mabepari au wahindi.

Uchumi wa Tz unamilikiwa na wahindi kwa zaidi ya 70%.
 
Daah hizi data za wapi wageni wapite kama bus saba tuu hapo Messina aisee kazi ipo...na unaandika maandishi marefu kwa kwa taarifa hii..
 
Huwa inatokea raia wanachoka kabisa na uhalifu, wanampigia kura mtu anayeahidi kupambana na uhalifu kwa mkono wa chuma, kama Durtete vile. Huko mbeleni unaweza kupungua. uliberali huaga si mzuri kwa usalama wa nchi.
 
Pagad ni genge la wauza madawa waliojificha kwenye kimvuli cha waislamu, Wamorocco wengi ni members wa kundi ka Pagad.

Huwezi kuliweka kundi la Kigaidi kama Pagad kwamba ni la kidini, hakuna dini inayobariki kutega mabomu ili kuuwa watu.

Ugomvi wa Pagad wao ndio wanataka kudhibiti biashara ya Dawa za kulevya at the same time wanajificha kwenye kimvuli cha waislamu kujifanya wanapiga vita biashara ya Dawa za kulevya.

Nimeishi Bookap nawajuwa vizuri Pagad.
 
umedadavua vizuri, Asante sana kwa maarifa.
 
Ukienda tour hata hayo matukio ya South Africa utaishia kuyasoma mtandaoni tu na kuona kwenye TV Tu.

Cape town inapokea watalii wengi sana kila mwaka kutoka duniani na hakuna mtalii añapata tatizo lolote.
Najua. Nina wadogo zangu walisoma University of Cape Town bado kidogo tu niwatembelee.

I am just protesting the widespread xenophobia there.
 
mwandende
 
Nadhani huu Uzi una mwendelezo Kuna mengi ya kujifunza apa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…