Maisha ya Afrika Kusini siyo poa

Ndio hivyo...SA NI NCHI Ya cha wote.
 
Mimi nilikuwa nakaa kule Boksburg. Mida ya jioni nilikuwa natembea kwa mguu toka Eastrand shopping mall mpaka boksburg kwa mguu na sikuona kibaka hata mmoja...
 
Najua. Nina wadogo zangu walisoma University of Cape Town bado kidogo tu niwatembelee.

I am just protesting the widespread xenophobia there.
Kaka, mbona unanitisha tena.
Wakati last night umetoka kunipa moyo kuhusu my PhD opportunity at the UCT
 
Kaka, mbona unanitisha tena.
Wakati last night umetoka kunipa moyo kuhusu my PhD opportunity at the UCT
Hahaha,

Wewe una visa sana, unapandishia CD.

UCT ndiyo Harvard ya Africa, nenda kapige shule.

Mimi nina protest tu xenophobia, South Africa nitaiona kwenye Netflix tu.
 
South ishaisha, sio ile ya Mandela,naishi huku kila kitu kimabadirika maisha yamekuwa magumu umeme kwa mgao mwaka mzima huu, mahosptali hayatoi huduma kama Zamani,hali imekuwa mbaya sana, vijana pambaneni uko uko bongo, huku ishakuwa balaa.
Wew kama Hali Iko hivyo mbona usirudi? Kama sio uongo Nini? Au ndo tuseme unapenda kuteseka kwnye nchi za watu?
 
Mimi nilikuwa nakaa kule Boksburg. Mida ya jioni nilikuwa natembea kwa mguu toka Eastrand shopping mall mpaka boksburg kwa mguu na sikuona kibaka hata mmoja...
Boksburg ni location za wazungu, hata mtu mweusi ukionekana Polisi lazima wasimamishe gari wajuwe mpango wako.

Usitegemee kuona vibaka sehemu kama hizo, kwanza Eastland mall ukiingia mtu mweusi unaonekana ni wazungu tupu mpaka usogee Kempton Park ndio unaanza kuona mixer ya wazungu na wanyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…