Maisha ya Afrika Kusini siyo poa

Maisha ya Afrika Kusini siyo poa

Hakuna kitu kama hicho... danganya danganya tu.... Sababu kubwa ya crime SA ni miafrika yote kujazana ..... hawan vibali Joburg Kuna wageni wengi kuliko wenyeji...

and all these foreign nationals have got no papers, majority are rejects in their countries and are drug dealers.

Jozi imeharibiwa na wageni... nenda Hillbrow utakutana na wahuni wote wa Kariakoo na miNijeria imejazana. Na Hawa ndio wezi wa kutupwa. Tusiwalaumu Wasouth kwenye hili... wakijaribu kuchukua nchi Yao tunasema ni mibaguzi. Is it even fair? would Tanzanians allow such huge number of foreign nationals in their capital, Dar es Salaam? South Africans are so creative and intelligent. Wqmeshindwa kucontrol nchi Yao sababu ya wageni.... na Sasa hivi nadhani wageni ni wengi kuliko wenyeji... na wakianza kuwafukuza utaskia tuliwasaidia kupambana na ubaguzi... viongozi wanakuwa wapole.


Nina mengi ya kuandika saana maana niweza kujionea kwa macho yangu.
Ndio hivyo...SA NI NCHI Ya cha wote.
 
Wakati nnaishi Sauz! Ata Police walio Off wanatembea wawiliwawili- Kuna siku tulimwalika mmoja kwenye part akaja na mwenzake ambae nae yupo off! Nilipokuwa naongea nao waliniambia kuwa wahalifu wanaowakamata mara nyingi ata kama bado awajafungwa kesi zao zinaendelea mahakamani huwavizia na kuwaua. Pale kila mmoja wao alikuwa na Bastola full loaded . Hospital za South zina askari geting pamoja na Detekta za silaha, Wakikukosa kukuhuwa Kitaa, wanakuja hospital kukumaliza😭. Kuna mitaa kutolewa Bunduki ni kawaida, Malaya kukuuza kwa Majita kama umejionyesha wewe unazo ni kitu cha kawaida.Siku moja Dogo alikuwa anatoka Super market ambayo ni kama Nusu KM. Mpaka anafika tunapokaa amekabwa mara sita na makundi tofauti tofauti ya vibaka🤣 Kundi la sita walimkuta amebakiwa na pipi kifua tu.
Mimi nilikuwa nakaa kule Boksburg. Mida ya jioni nilikuwa natembea kwa mguu toka Eastrand shopping mall mpaka boksburg kwa mguu na sikuona kibaka hata mmoja...
 
Hii ni baadhi ya misiba iliyotokea South Africa kwa wabongo wanaoishi huko View attachment 2457583View attachment 2457584
Screenshot_20221225-123852.jpg

View attachment 2457587View attachment 2457589
 
Najua. Nina wadogo zangu walisoma University of Cape Town bado kidogo tu niwatembelee.

I am just protesting the widespread xenophobia there.
Kaka, mbona unanitisha tena.
Wakati last night umetoka kunipa moyo kuhusu my PhD opportunity at the UCT
 
Kaka, mbona unanitisha tena.
Wakati last night umetoka kunipa moyo kuhusu my PhD opportunity at the UCT
Hahaha,

Wewe una visa sana, unapandishia CD.

UCT ndiyo Harvard ya Africa, nenda kapige shule.

Mimi nina protest tu xenophobia, South Africa nitaiona kwenye Netflix tu.
 
South ishaisha, sio ile ya Mandela,naishi huku kila kitu kimabadirika maisha yamekuwa magumu umeme kwa mgao mwaka mzima huu, mahosptali hayatoi huduma kama Zamani,hali imekuwa mbaya sana, vijana pambaneni uko uko bongo, huku ishakuwa balaa.
Wew kama Hali Iko hivyo mbona usirudi? Kama sio uongo Nini? Au ndo tuseme unapenda kuteseka kwnye nchi za watu?
 
Mimi nilikuwa nakaa kule Boksburg. Mida ya jioni nilikuwa natembea kwa mguu toka Eastrand shopping mall mpaka boksburg kwa mguu na sikuona kibaka hata mmoja...
Boksburg ni location za wazungu, hata mtu mweusi ukionekana Polisi lazima wasimamishe gari wajuwe mpango wako.

Usitegemee kuona vibaka sehemu kama hizo, kwanza Eastland mall ukiingia mtu mweusi unaonekana ni wazungu tupu mpaka usogee Kempton Park ndio unaanza kuona mixer ya wazungu na wanyama.
 
Back
Top Bottom