Maisha ya Afrika Kusini siyo poa


Mitanzania ndio nini wewe karunguyeye?
 
Ametolea mfano ulio hai, na kumfanya msomaji kuelewa katika muktadha huo! Hajasema panafanana! Ila elimu yetu inahitaji kutungishwa mimba na kuzaliwa upya!
Ulio hai nawakati hao anaowatolea mfano hawajawah fika Sandton, alafu fahamu Sandton ni city huku masaki ni neighborhood Kuna utofauti Mkubwa sana wa city na neighborhood
 
Ninakubaliana sana na haya maoni. Usienda South Africa kama huna msingi.

South Africa ni inchi ya upper-middle class and above, chini ya hapo utateseka sana.

South Africa na Bongo ndo nchi mbili ninazozipenda sana huku Africa, mimi kama Mkenya.

Kama tu Bongo, South africa with money is the best country. Lakini ina advantage fulani tu zaidi ya Bongo.
Infrastructure imeendelea sana na kuna miji poa sana kule mfano Constantia kule Cape Town, Franschhoek, Stellenbosch, strand, Somerset West , Knysna, George n.k lakini ndio huishi kule unahitaji sio chini ya $2500 a month. Chini ya hapo utakumbwa na crime pale iko juu sana ikicheki statistics.

Tukitoka jimpo la Western Cape tuje Gauteng, miji inayopendeza sana ni Midrand kule Waterfall, Steyn City, Blair Atholl , Copperleaf, Serengeti Estate.
Hii ni miji mpya mpya kwa sababu the trend is to live in gated communities saa hii lakini hapo awali miji kama Sandton, Rivers estate, Bryanston ilipendeka sana.
Ndio huishi katika hiyo miji nimetaja u need at least $4000.


Kuna sehemu zingine tu kama Pretoria East , Summerstrand, Durban North zenye kupendeza.

Ila I would not advice anyone aende South Africa unless ni middle class kuendelea.
South africa is one of the most value-for -money countries in the world kama pesa si shida. Luxury is very cheap kule compared to the rest of the world.

Iko na ecosystems mbali mbali kama tu Tanzania.
Ila ina challenges mingi sana pia.
In a province like Kwazulu Natal , 60% of women aged 18-48 yrs are HIV positive. 60% wana UKIMWI! 60%! Na hizi ni taakwimu rasmi.
However even if u test at home ,itaonyesha negative kwa sababu wanatumia ARVs so ukimwi ni undetectable unless u go to a lab like Lancet.
The national average ni about 20% almost double ya Tanzania.

U need to be very careful manake wanawake wa kule wanapendeza sana hata zaidi kushinda hawa wa Bongo.
Wanamaumbilie ya kushawishi sana mwanzo kama Kule Port Elizabeth kila mwanamke ni round ana tako balaa. Sehemu zingine ni kama kule Pretoria na Braamfontein yaani kile mwanamke ni mrembo kule.

Wanapenda soft life sana wanawake wa kule.

Alafu pia crime inatakiwa huishi kwa miji hiyo ambayo nimeitaja kwa sababu crime iko juu sana.

Hata ukiisha mbali na watu kwa shamba Lako bado kuna farm murders nyingi sana kama zile sehemu za Drakensberg.

For u to protect yourself kule kama una mansion yako, private companies charge $1000 for one soldier.

Kwa hivyo bila pesa baki tu Bongo kuna fursa za kuanzia mingi sana, nyinyi si mabepari u have not exploited everything.
 
Hakika ufafanua vizuri na binafsi nimekuelewa sana !!!! sema wanawake wa uko balaaa lazima unase tu!!!!
 
RIP AKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…