mwinshehe daffodio
Member
- Sep 27, 2023
- 25
- 17
Shukran mwenye Uzi, Mimi ni mtumishi WA serikali, lakini kiukweli biashara ni Bora kuliko kuajiriwa,tuna tafuta ajira ili tupate udhaminj, huwezi kupata mkopo wa milioni 20-50M ikiwa hujulikani,labda kwenu mume na vitega uchumi vya kuweka bondi ambapo wengi wetu hatuna,pia katika biashara nimejua kuna Uhuru WA pesa na fikra pia urithi kwa vizazi vyako,pia watoto wako hawato toka kwenda kuomba kazi kwa wazazi wengine, pia biashara ya kutoa huduma ni bora kuliko kuuza bidhaa, kinacho Felisha ni mitaji mdogo na mambo ya kuigana, ila kama kwenu kuna pesa usi ajiliwe pesa hutoa pesa ukiwa na mipango,lakini kuajiriwa ni kubanwa matumizi na kubanwa mda,pia kubanwa future, wewe huwezi lipwa 13M kwa mwezi mpaka ufike level Fulani manger au Nani huko, lakinikwenye biashara unakatama hata ukiwa under 18+