Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Kwa hiyo usipo kusanya Mali hautakufa?Maisha ya mwanadamu ni mafupi sana..mali yote unayoikusanya ipo siku utaiacha na kurudi kwa Mola wako kama vile ulivyozaliwa.
Ulitaka avae kanzu!mwambieni aache uhuni anavaaje jeans
Upo sahihi kabisa.Sijaona shamba la mfano wa kuigwa hapo
Haya maneno yamfikie sa100 popote alipo.Maisha ya mwanadamu ni mafupi sana..mali yote unayoikusanya ipo siku utaiacha na kurudi kwa Mola wako kama vile ulivyozaliwa.
Mali unayoilundika haina maana yoyote kama huitumii kujenga nyumba yako ya milele!Kwa hiyo usipo kusanya Mali hautakufa?