Maisha ya Dkt. Mpango baada ya kustaafu; Anamiliki shamba la mfano wa kuigwa

Maisha ya Dkt. Mpango baada ya kustaafu; Anamiliki shamba la mfano wa kuigwa

Naweza kupata ujira wa kulitunza shamba hilo,nina uzoefu wa miaka ishirini nikilima.
 
Masokini tuna maneno yetu ya kujitia moyo
ni maneno yanayomfaa mtu mwenye akili

Quran 102: 1-8

"Kumekushughulisheni kutafuta wingi,

Mpaka mje makaburini!

Sivyo hivyo! Mtakuja jua!

Tena sivyo hivyo! Mtakuja jua!

Sivyo hivyo! Lau mngeli jua kwa ujuzi wa yakini, Basi bila ya shaka mtaiona Jahannamu!

Tena, bila ya shaka, mtaiona kwa jicho la yakini.

Tena bila ya shaka mtaulizwa siku hiyo juu ya neema."
 
Back
Top Bottom