ILA BADO HAJASTAAFU KABISA, MAANA AMETEULIWA TENA NAFIKIRI ATAKUWA NA OFISI KATIKA IKULU YA SAMIA.View attachment 3532403View attachment 3532404View attachment 3532405View attachment 3532406View attachment 3532407View attachment 3532408View attachment 3532409View attachment 3532410View attachment 3532411View attachment 3532412View attachment 3532413View attachment 3532414View attachment 3532415View attachment 3532416View attachment 3532417View attachment 3532418View attachment 3532419View attachment 3532420
Hii ni kauli ya maskini akijifariji...Maisha ya mwanadamu ni mafupi sana..mali yote unayoikusanya ipo siku utaiacha na kurudi kwa Mola wako kama vile ulivyozaliwa.
Jamii ya kimaskini uwezo wa kufikiri imekabidhi kwa ma pastor wakisubiri miujiza ya kwenda mbinguni kula na kunywa wasivyo vifanyia kaziKwa hiyo usipo kusanya Mali hautakufa?
mpe ukweli huwezi sema mfano siwezi panda miti sababu hicho kivuli sitafaidi.Wewe unapanda tu wafaidi wengine.Sababu hata sisi tulipofika hapa babu zetu walihangaika sana ajili yetu.Kwa hiyo usipo kusanya Mali hautakufa?
Nimeona bembea za watoto na wanyama pori bandiaWewe umeona shamba la mfano wa kuigwa hapo?
Hivi jeans inaishia umri upi?mwambieni aache uhuni anavaaje jeans
Tema mate chini! Kitu hujui acha tu. Ameharibu maisha ya wengi tu kwa kutumia cheo chake.Mzee wa watu hanaga makuu kabisa!, Mungu azidi tu kumpa maisha marefu kwake.
Uliyemtaja anakwenda kujiuza akistaafu.Haya maneno yamfikie sa100 popote alipo.
Nipe shikamo yangu ama nichukue kwa nguvu.Hivi jeans inaishia umri upi?
Maana na mimi kanizidi miaka mitatu tu na Obama nimemzidi mwaka ila wote tunavaa tu
Jeans haina umri labda utuambie tuache lini? 😂😂
Umeshampa wewe huo ukwelimpe ukweli huwezi sema mfano siwezi panda miti sababu hicho kivuli sitafaidi.Wewe unapanda tu wafaidi wengine.Sababu hata sisi tulipofika hapa babu zetu walihangaika sana ajili yetu.
Acheni uchawa, kuna shamba gani na vijumba vya kuigwa hapo?Upo sahihi kabisa.
That's the life I wish to live uzeeni💗💗💗View attachment 3532403View attachment 3532404View attachment 3532405View attachment 3532406View attachment 3532407View attachment 3532408View attachment 3532409View attachment 3532410View attachment 3532411View attachment 3532412View attachment 3532413View attachment 3532414View attachment 3532415View attachment 3532416View attachment 3532417View attachment 3532418View attachment 3532419View attachment 3532420
Kasome comment niliyoitagAcheni uchawa, kuna shamba gani na vijumba vya kuigwa hapo?
Hapo ndio kwao Buhigwe au hapa hapa Dar?
Ukitaka mashamba ya mfano nenda kwa Prof. Mwandosya kule Busokelo!