Nakupa ila uirudisheNipe shikamo yangu ama nichukue kwa nguvu.
Maneno ya maskini haya kujifariji na umaskini wao.Maisha ya mwanadamu ni mafupi sana..mali yote unayoikusanya ipo siku utaiacha na kurudi kwa Mola wako kama vile ulivyozaliwa.
Kwanini wewe usimwambie?mwambieni aache uhuni anavaaje jeans
shambaView attachment 3532403View attachment 3532404View attachment 3532405View attachment 3532406View attachment 3532407View attachment 3532408View attachment 3532409View attachment 3532410View attachment 3532411View attachment 3532412View attachment 3532413View attachment 3532414View attachment 3532415View attachment 3532416View attachment 3532417View attachment 3532418View attachment 3532419View attachment 3532420
Wote tungekuwa na mawazo kama haya, dunia ya sasa ingekuwa duni sana. Maendeleo ya kijamii, kisayansi na kiteknolojia tunayoyashuhudia leo yasingekuwepoMaisha ya mwanadamu ni mafupi sana..mali yote unayoikusanya ipo siku utaiacha na kurudi kwa Mola wako kama vile ulivyozaliwa.
Kumbe kuvaa jeans ni uhuni! Sikujua.mwambieni aache uhuni anavaaje jeans
umri wajukuu wavae na babu naeKumbe kuvaa jeans ni uhuni! Sikujua.
Atakurudishia kijana wangu adriz da mbooz.Nakupa ila uirudishe
tembelea sana makaburini na katika mazishi ulichungulie kaburi ndio utajua kuwa hii dunia na vyote tunavyovichuma ni ubatili mtupu isipokuwa kumuamini Mungu na kutenda matendo mema tuWote tungekuwa na mawazo kama haya, dunia ya sasa ingekuwa duni sana. Maendeleo ya kijamii, kisayansi na kiteknolojia tunayoyashuhudia leo yasingekuwepo
tembelea makaburini halafu angalia matajiri waliolala halafu jiulize utajiri wao uliwafaa nini?Maneno ya maskini haya kujifariji na umaskini wao.
Acha uswahili. Ukisikia uchoyo ndio huu.Maisha ya mwanadamu ni mafupi sana..mali yote unayoikusanya ipo siku utaiacha na kurudi kwa Mola wako kama vile ulivyozaliwa.
Nyumba ya milele inajengwa na wanaokuzika acha kutisha watuMali unayoilundika haina maana yoyote kama huitumii kujenga nyumba yako ya milele!
Kwa hiyo unajifariji kwamba kwa vile hata matajiri wanakufa, ni jambo la kheri uwe maskini?tembelea makaburini halafu angalia matajiri waliolala halafu jiulize utajiri wao uliwafaa nini?
Kwa hiyo unataka ukae tu usubiri kifo? Acha ubinafsi wewe, kwani ukionyesha mfano au hata ukiwaachia community yako unaona haifai???? Ongea sense wewe, acha kudanganyika wajinga wenzako, Ulaya imejengwa mamia kama siyo maelfu ya miaka, one generation to another, na wapo mbali sana, wewe danganya wenzako, mkae msubiri mwisho wa dunia kama alivyowaambia mchungaji au sheikh wako.Maisha ya mwanadamu ni mafupi sana..mali yote unayoikusanya ipo siku utaiacha na kurudi kwa Mola wako kama vile ulivyozaliwa.
View attachment 3532403View attachment 3532404View attachment 3532405View attachment 3532406View attachment 3532407View attachment 3532408View attachment 3532409View attachment 3532410View attachment 3532411View attachment 3532412View attachment 3532413View attachment 3532414View attachment 3532415View attachment 3532416View attachment 3532417View attachment 3532418View attachment 3532419View attachment 3532420
kaanzisha mwenyewe uchakae kwa nini ?Tatizo ya mtu mweusi baada ya miaka 5 huu mradi utakuwa umechakaa hatari kwa mijusi
Kwa mazingira ya Dodoma kama ni kweli yupo DodomaWewe umeona shamba la mfano wa kuigwa hapo?