Maisha ya Dkt. Mpango baada ya kustaafu; Anamiliki shamba la mfano wa kuigwa

Maisha ya Dkt. Mpango baada ya kustaafu; Anamiliki shamba la mfano wa kuigwa

Sasa hilo nalo utaita shamba la mfano? Imeenda kwa Pinda.

VIjana tembeeni kujifunza.

Kwa hadhi yake huo ni uchafu.

Hongera zake lakini kulima ukiwa mstaafu.
 
Kwa hiyo unataka ukae tu usubiri kifo? Acha ubinafsi wewe, kwani ukionyesha mfano au hata ukiwaachia community yako unaona haifai???? Ongea sense wewe, acha kudanganyika wajinga wenzako, Ulaya imejengwa mamia kama siyo maelfu ya miaka, one generation to another, na wapo mbali sana, wewe danganya wenzako, mkae msubiri mwisho wa dunia kama alivyowaambia mchungaji au sheikh wako.
Siwezi kukushangaa kwasababu ulishakata tamaa kukutana na mola wako mlezi aliyekuumba. Umeifanya dunia kuwa ndio nyumba yako ya milele ilihali huna uhakika hata wa kuishi miaka 50 toka hivi sasa
 
Kwa hiyo unajifariji kwamba kwa vile hata matajiri wanakufa, ni jambo la kheri uwe maskini?

Haya mawazo yako ni mgando sana.

Kila mtu atakufa.

Uwe tajiri, uwe maskini kila mtu atakufa na kuingia kaburini.

Kifo sio kigezo cha kukufanya uridhike na umaskini wako, kisha unabweteka unasubiri kuingia kaburini.

Huu ni ujinga.
Am not poor btw... Ila sikushangai kwakuwa umeshakata tamaa ya kukutana na Mola wako mlezi kutokana na maovu uliyokwisha yachuma kwa mikono yako.

Hivi unadhani una miaka hata 40 ya kuishi juu ya mgongo wa hii ardhi kutokea sasa?

Watu wenye akili ni wale walioshughulika kuyapamba makaburi yao kabla ya kufa kwao.
 
Mola hayupo.

Hakuna Mungu.

Huyo Mola mnayemsubiri mkakutane naye hayupo.

Dini zilishawapumbaza na kuwapa vitisho uchwara.
 
Alikuwa na nafasi ya kuwa rais ila al

Kwa hiyo unajifariji kwamba kwa vile hata matajiri wanakufa, ni jambo la kheri uwe maskini?

Haya mawazo yako ni mgando sana.

Kila mtu atakufa.

Uwe tajiri, uwe maskini kila mtu atakufa na kuingia kaburini.

Kifo sio kigezo cha kukufanya uridhike na umaskini wako, kisha unabweteka unasubiri kuingia kaburini.

Huu ni ujinga.
aise nakuunga mkono mawazo kama haya ndio yanaleta umasikini ni ya kifala mno
Ndio maana mzee Makamba alishawahi piga dongo masikini haingii mbinguni
Ukiangalia sana masikini wengi wana roho mbaya sana
Bila shaka mungu ana makusudi yake
Huyu jamaa ka comment pumba sana na mara nyingi wanaokomenti hivi ni wa ile dini ileeeee
 
That's the life I wish to live uzeeni💗💗💗
He could only maintain his garden while in office because he was awosh with easy money! After retirement the place could go to waste!
Do you think his children will be able to maintain the place after he is gone?
Ndio mambo ya Mobutu hayo!!!
 
Back
Top Bottom