Kuelewa ni kugumu sana aisee, hujasikia msemo mmoja wanasema from light to darkness, from darkness to light, tatizo watu wanaposikia uchawi wanawaza in a bad way kwenye kuharibu TU no ndio maana kuna Giza na Kuna Nuru, elewa walau kidogo kuna uchawi wa Giza (kuharibu) na uchawi wa Nuru (kujenga), elewa kidogo hauhitaji degree kuelewa hiliKwa tafsiri yako hii, inamaana Binaadamu wote ni wachawi!!?
Wewe unaelewa Ila inabidi uwe twisted kidogo ili uelewe zaidi,Wote ni hao hao tu
Maandiko hataabudu wachawi kama wewe na hao uliowataja
Upon sahihi kuna MTU alikua na changamoto katika mfumo wa mkojo, akaenda Hospital hizi ndogo ndogo zote akapima magonjwa UTi na Typhoid hola...nikamwambia ukienda kapime tezi Dume...kupima imo... Keshapoteza hela na kabwia madawa kibaoWatz wengi wanachanganya magonjwa hasa UKIMWI na uchawi au ulozi. Mathalani hapo kwa Jumbe atakuwa alipata hallucinations ( kuona maluweluwe) aidha kutokana na dawa ( Efavirenz-waliowahi kutumia PEP ni mashahidi) au ugonjwa wenyewe km ulimletea HIV encephalitis ( infection ya bacteria au fangasi kwenye ubongo wa mbele).
Tatizo ninaloliona ni Watz wengi wakipata UKIMWI kusingizia kulogwa na majini, vitu ambavyo havipo. Kuhusu kuvunjika bila kupigwa ni kweli mtu anaweza kuvunjika bila kupata ajali( kitaalam inaitwa pathological fracture) na kuna sababu zake chungu nzima na wala sio ulozi. Watu wengi walioathirika na UKIMWI pia hupata magonjwa mbalimbali ya mifumo na mishipa ya fahamu hivyo sio ajabu kuhisi anaguswa, moto unawaka n.k ilhali sio kweli ( kitaalam inaitwa HIV polyneuropathy)
Tatizo letu kubwa ni kupenda majibu mepesi kwenye maswali magumu. Mtu akienda dispensary anapima Typhoid, mkojo na Malaria anakwambia kapima kila kitu hana shida hivyo basi amelogwa. Madaktari wetu na wao akishindwa kutambua tatizo la mgonjwa ( kakosa diagnosis ama kwa kutojua au incomptence yake) basi anamwambia mgonjwa ajaribu upande wa pili atakuwa kalogwa. Hapo aliyelogwa ni mgonjwa au Daktari?
Ushawahi jiuliza kwanini wakristu Wakatoriki husema kufa na kufufuka kwa Yesu ni FUMBO LA IMANI ?Yesu Si mwanafalsafa,
Yesu ni Mungu aliyekuja katika Mwili Ili kuukomboa Ulimwengu na mateso ya dhambi.
Yesu ndiye dalili ya kiama sawasawa na Islam,
Kama yupo mtu hamwamini Yesu, na haendi Kwa mganga au Si mchawi, mtu huyo atakuwa sawa na Kondoo anayezurura porini bila MCHUNGAJI, ataliwa tu.
Wakatolkeli ni DINI ya mnyama.Ushawahi jiuliza kwanini wakristu Wakatoriki husema kufa na kufufuka kwa Yesu ni FUMBO LA IMANI ?
Jumbe kwa maelezo yake wakati wa Uhai wake km ulimsikiliza akieleza kisa chake kizima yeye kwa Imani yake aliamini kwamba amefanyiwa Mambo ya shiriki (ushirikina) na wale aliokua akiwafanyia kazi kutokana na kipaji chake, Mimi nilimsikiliza akisimulia mwanzo mpaka mwisho sababu alieleza kadhaa tangu kipindi Cha Komba wa TOT tangu kipindi TX Moshi William, kuna simulizi yake alieleza kila kitu waziwaziUme reason kitaalam sana!!
We nawe bado unahitaji kubadiri mtazamo, pata mtu sahihi akuelekeze zaidi umemezeshwa vitu ambavyo sioWakatolkeli ni DINI ya mnyama.
Uchawi ni nini? Tuanzie hapo kwanza.Aisee. Wachawi wapo, walikuwepo na watakuwapo. Hawa watu wanaumiza watu sana mtu asikuambie. Uamini usiamini hiyo haibadilishi kitu wao wapo tu. Jinsi ya kuwashinda ni kumwabudu Mungu wa kweli.
Looh RIP kiongoziusiku wa kuamkia jana nimeona kaja mgeni hapa kwangu anapiga hodi, nilipofungua door ni rafiki yangu wa enzi za shule ila ghafla alitoa mkuki na kunichoma tumboni
pia kuna hii ndoto naiota toka mwaka jana kati kati, kwamba nipo kitandani natoa uzi mrefu mdomoni usiokuwa na mwisho
Utaishia kutamani tu. Kama fisi anayetamani mkono wa mtu anayetembea uanguke.Huwa natamani Kiranga siku Moja aje aiubili injili ya Yesu kristo kua ni Bwana na mwokozi wa maisha yetu....
Naku ahid,Utaishia kutamani tu. Kama fisi anayetamani mkono wa mtu anayetembea uanguke.
Kwa nini unapenda kutamani badala ya kuchunguza mambo ili ujue ukweli?
You are what they call a Jesus freak.Naku ahid,
siku Moja lazima uiubir injili ya Yesu kristo kua ni Bwana na mwokozi wa maisha yetu....
Nimekuweka kwenye maombi
#Asap
Siku Moja ipo,You are what they call a Jesus freak.
alitakiwa tu aokoke, ampokee Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yake, Yesu ameshinda mautina kuzimu na ni mponyaji. hakuna mchawi anao uwezo kumloga mtu aliye ndani ya Yesu. huko mliko mnajidanganya sana, na hata kufungwa mnajinyima tu chakula ila mnachokiabudu hakina uwezo kuokoa roho wala mwili na hakina mbingu ya kuwapeleka. jaribuni wakati mwingine sio msimuliwe tu,wewe ukiona umetandikwa na wachawi umefika mwisho, usife kibudu, jaribu na upande mwingine, njoo kwa Yesu uone kama hatakuokoa. Onjeni muone kuwa Bwana yu mwema, heri mtu yule anayemtumaini yeye. huu ni ushauri wa bure, ukiuchukua sawa, ukiudharau sawa, hakuna hasara kwangu. ila wale waliojaribu na upande mwingine, walishamwona Mungu kwenye maisha yao.Nikipitia maisha ya Hussein Jumbe, naona kama hakuwa na furaha, japo alikuwa anatumia muda mwingi katika kumbi za burudani zilizotarajiwa au zinazosemwa ni sehemu za furaha.
Moyo wake ulijaa mambo mazito, mzigo mzito, malalamiko, na kilio kwa Mungu. Alikuwa akionewa bila hatia. Hata uso wake haukuwa na Nuru ya furaha.
Mara kadhaa alilalamika kwamba Kuna vitendo vya kishirikina vilikuwa vinafanywa kwake. Aliugua sana, kipindi kile mpaka akatunga wimbo "nachechemea". Chanzo Cha kuugua, aliota nyoka anataka kumdhuru au amemdhuru, baada ya siku kadhaa, yule nyoka akaonekana chumbani kwake katika suruali, nyoka akauliwa na wanamtaa, hapo ndipo aliugua karibu kifo.
Baadae akajikuta tu anavunjika mfupa wa mguu, bila kujikwaa chochote. Hapo napo aliota ndoto ya ajabu, mara hiki na kile, anaamka asubuhi anaenda kusali, anarudi, mguu ukapata shida.
Stori ya huyu ndugu inanifanya niendelee kuiogopa Tanga. Na pia inanifanya nione jamii ya kiafrika Ina ushenzi fulani, kwa baadhi yetu.
Pumzika kwa amani Hussein Jumbe.
N.B: katika mahojiano fulani anaonekana kumsema kaka yake kwamba alikuwa anamzushia kuugua ngoma, kama kuzuia watu wasimsaidie, akapima akawa safi. Lakini bado anaumwa!!!!!
Medi Mpakanjia akampeleka Mombasa, akakutana na fundi, ndio akaponea huko, ila mchawi wake hakuchoka, aliendelea kumpa vitimbi. Bila shaka Sasa roho ya huyo mwanga itakuwa imetulia na atachinja kuku baada ya kusikia habari za kifo.
Sasa jamani mziki wa bendi posho kiduchu, ndio kumpiga mtu misumari hivyo?
Biology ya wapi hio umefundishwa kwamba mtoto anaishi kwa Kula Damu?Uchawi upo all over the world mkuu, na dunia nyingine unaonyeshwa waziwazi na wachawi wanashindanishwa jukwaani au hujawahi kuona ? Utofauti wa uchawi wa dunia nyingine na dunia uliyopo wewe 3rd world ni kwamba wao kwao wame-develop kuliko hao wa huko kwenu unaowaita masikini, Ila wachawi matajiri unao ni sawa kuroga Ila wao ni matajiri au sio?
Km ulizaliwa ukiwa umetoka kula damu (usishangae) tumboni kwa mama yako hakuna uji wala maziwa maana muda wote ulikua unashiba damu tupu unamfyonza mama yako wewe nyonya damu, ukakatwa kitovu basi kilichofanyika kwenye hatua za awali ni uchawi ndipo wewe ukapata kuishi mpaka leo hii unapumua
Niishie hapa,
Kweli kabisaaa na wengi wameathiriwa by HofuHakuna kitu kibaya duniani kama ugomvi wa kifamilia ama kati ya ndugu.. Lakini sometimes kinga za kiroho zinapokuwa chini bila hata ushirikina hakuna rangi utaacha kuona
Jumbe kwa sehemu kubwa kauliwa na hofu, hofu ya kurogwa na ndugu, hofu ya kurogwa na wasiompenda nknk.. Hiyo dhana ikishakuingia hata ukipaliwa utadhani umerogwa
Kwani wewe unajua uchawi ni nini? Maana yaweza ikawa kuna mbishano mwingi humu Ila kumbe kila mmoja ana maana yake ya neno uchawi, mfano kuna maneno ya mtaani (rahaja na misimu) utasikia anasema 'mchawi Pesa' au mwingine anasema 'mchawi Ndugu', Sasa wewe km wewe unajua nini maana ya uchawi ?Uchawi ni nini? Tuanzie hapo kwanza.