Maisha ya Hussein Jumbe ni ushuhuda tosha kwamba jamii zetu zina wachawi, watu wenye roho mbaya sana na makatili. Tuwe na Imani kwa Mungu

Maisha ya Hussein Jumbe ni ushuhuda tosha kwamba jamii zetu zina wachawi, watu wenye roho mbaya sana na makatili. Tuwe na Imani kwa Mungu

usiku wa kuamkia jana nimeona kaja mgeni hapa kwangu anapiga hodi, nilipofungua door ni rafiki yangu wa enzi za shule ila ghafla alitoa mkuki na kunichoma tumboni

pia kuna hii ndoto naiota toka mwaka jana kati kati, kwamba nipo kitandani natoa uzi mrefu mdomoni usiokuwa na mwisho
Dah, ulipoamka hujasikia maumivu yoyote tumbo I au mwilini? Yaani kama unamwamini Mungu omba Sana...
 
Anayeamini uchawi unaweza kuendelea kuamini. Mwanzo sikuwa najua hata mambo ya uchawi, tukaja kupata dada msaidizi wa ndani toka Singida Mwenyezi Mungu ampumzishe mahala pema. Alishatangulia mbele za haki.

Huyu dada ndiyo alianza kunifundisha, kuna uchawi duniani nami nikaamini.
Nashukuru Mungu ni majuzi nimekutana na watu sahihi, uchawi uko kwenye mind tu. Ukiamini na itakuwa hivyo.

Usipoamini hakuna kitu kitakudhuru, nami nimeamini, kabla sikuwa nimesikia na niliishi kwa amani bila uoga. Nilipotajiwa nikawa muoga. Ila sasa imesha hiyooo, hakuna uchawi na sitodhurika.
 
unaiogopa tanga how??
Hii hofu ya mtoa mada kuigopa Tanga, haina mashiko. Tanga yote imejaa raha tu. Huu uoga wa mtoa mada unasababishwa na nini?

Kwanza Hussein Jumbe mwenyewe kwa miaka mingi, shughuli zake za muziki amekuwa akizifanyia Jijini Dar es salaam! Sasa Tanga tunahusishwa vipi na kifo chake!!
 
asubuhi sihisi chochote Mkuu, sure inabidi nianze maombi maana huwa nalala tu bila kuomba
Kosa kubwa sana. Ila kwa kuwa tumepewa neema ya kuombeana, kwa jina la Yesu nakufungua na vifungo vya mauti kuanzia sasa kwa jina la Yesu. Bwana Mungu akutetee mbele ya watesi wako. Walilolikusudia lisifanikiwe kwa jina la Yesu.
 
Stori ya huyu ndugu inanifanya niendelee kuiogopa Tanga.
Sio Tanga tu Wachawi na Wanga wapo kila sehemu, usichokijua leo nikufumbue macho km unavyoona huku nje kuna dini na madhehebu na huko kwenye ulimwengu wa wachawi na wanga Wana dini na madhebu (inafikirisha sana) hujawahi kujua, ipo hivi kuna wachawi wanajiunga na dini ya kichawi na kuna wachawi wanaingia kwenye uchawi na wengine ni wachawi wanaowanga bila kujua kua wanachokifanya wanaroga wengine

Uchawi upo kila sehemu, usibishe Tena Sasa hivi uchawi umerudi kwa kasi watu wanarogana vibaya, maisha magumu hali ngumu na wachawi wanaroga

R.i.p H Jumbe
 
Usipoamini hakuna kitu kitakudhuru, nami nimeamini, kabla sikuwa nimesikia na niliishi kwa amani bila uoga. Nilipotajiwa nikawa muoga. Ila sasa imesha hiyooo, hakuna uchawi na sitodhurika.

Angalau Vitabu vya dini kuu mbili vimetaja ulozi/uchawi...

Si suala la kuamini au kutokuamini bali ni suala la kutambua kwamba uchawi upo isipokuwa unadhuru wale wenye uhalali wa madai ya kiroho au wenye nguvu haba...

Hivyo kitu kama hakijawahi kukudhuru, au wewe kuwa na hofu nacho haina maana ya kwamba hakipo...
 
Anayeamini uchawi unaweza kuendelea kuamini. Mwanzo sikuwa najua hata mambo ya uchawi, tukaja kupata dada msaidizi wa ndani toka Singida Mwenyezi Mungu ampumzishe mahala pema. Alishatangulia mbele za haki.

Huyu dada ndiyo alianza kunifundisha, kuna uchawi duniani nami nikaamini.
Nashukuru Mungu ni majuzi nimekutana na watu sahihi, uchawi uko kwenye mind tu. Ukiamini na itakuwa hivyo.

Usipoamini hakuna kitu kitakudhuru, nami nimeamini, kabla sikuwa nimesikia na niliishi kwa amani bila uoga. Nilipotajiwa nikawa muoga. Ila sasa imesha hiyooo, hakuna uchawi na sitodhurika.
🐕
 
Huyu dada ndiyo alianza kunifundisha, kuna uchawi duniani nami nikaamini.
Nashukuru Mungu ni majuzi nimekutana na watu sahihi, uchawi uko kwenye mind tu. Ukiamini na itakuwa hivyo.
Screenshot_20230412-224211.png
 
Angalau Vitabu vya dini kuu mbili vimetaja ulozi/uchawi...

Si suala la kuamini au kutokuamini bali ni suala la kutambua kwamba uchawi upo isipokuwa unadhuru wale wenye uhalali wa madai ya kiroho au wenye nguvu haba...

Hivyo kitu kama hakijawahi kukudhuru, au wewe kuwa na hofu nacho haina maana ya kwamba hakipo...
Ndiyo nimesema mwanzoni anayeamini aendelee kuamini. Nami nilimezeshwa uchawi upo na unadhuru. Nikaanza ogopa, na kuhisi kweli ninafanyiwa uchawi.

Uchawi ukishaamini upo, kosa la kwanza, kitu kikikutokea kosa la pili. Maisha yako yote utahangaika kwa waganga na kumaliza makanisa.

Lakini tujiulize, kuna watu wamefanikiwa sana je hao wachawi hawawaoni? Wanatuona sisi tu? Hawajaamini upande huo na wanaishi raha mstarehe.
Hii Elimu ni pana sana, ukiijua hutohangaika tena maishani na mauchawi.
 
Cha msingi kwanza elewa uchawi upo, ila achana nao Fanya yako.

Kuna stage ukiona mambo huyaelewi jiongeze.

Ukijifanya wewe ni mtu wa dini nakuhakikishia wapo wachungaji wanakwenda kwa waganga wa kienyeji, na upande wa masheikh ndio sina hata la kusema wao ndio mafundi wenyewe.
 
Nikipitia maisha ya Hussein Jumbe, naona kama hakuwa na furaha, japo alikuwa anatumia muda mwingi katika kumbi za burudani zilizotarajiwa au zinazosemwa ni sehemu za furaha.

Moyo wake ulijaa mambo mazito, mzigo mzito, malalamiko, na kilio kwa Mungu. Alikuwa akionewa bila hatia. Hata uso wake haukuwa na Nuru ya furaha.

Mara kadhaa alilalamika kwamba Kuna vitendo vya kishirikina vilikuwa vinafanywa kwake. Aliugua sana, kipindi kile mpaka akatunga wimbo "nachechemea". Chanzo Cha kuugua, aliota nyoka anataka kumdhuru au amemdhuru, baada ya siku kadhaa, yule nyoka akaonekana chumbani kwake katika suruali, nyoka akauliwa na wanamtaa, hapo ndipo aliugua karibu kifo.

Baadae akajikuta tu anavunjika mfupa wa mguu, bila kujikwaa chochote. Hapo napo aliota ndoto ya ajabu, mara hiki na kile, anaamka asubuhi anaenda kusali, anarudi, mguu ukapata shida.

Stori ya huyu ndugu inanifanya niendelee kuiogopa Tanga. Na pia inanifanya nione jamii ya kiafrika Ina ushenzi fulani, kwa baadhi yetu.

Pumzika kwa amani Hussein Jumbe.

N.B: katika mahojiano fulani anaonekana kumsema kaka yake kwamba alikuwa anamzushia kuugua ngoma, kama kuzuia watu wasimsaidie, akapima akawa safi. Lakini bado anaumwa!!!!!

Medi Mpakanjia akampeleka Mombasa, akakutana na fundi, ndio akaponea huko, ila mchawi wake hakuchoka, aliendelea kumpa vitimbi. Bila shaka Sasa roho ya huyo mwanga itakuwa imetulia na atachinja kuku baada ya kusikia habari za kifo.

Sasa jamani mziki wa bendi posho kiduchu, ndio kumpiga mtu misumari hivyo?
Sasa tuamini nini ushirikina una nguvu au dini ina nguvu,mana umeandika Jumbe alitoka kuswali na Bado mchawi akawa na nguvu dhidi ya dini na akavunjika mguu....???
 
Back
Top Bottom