Maisha ya Hussein Jumbe ni ushuhuda tosha kwamba jamii zetu zina wachawi, watu wenye roho mbaya sana na makatili. Tuwe na Imani kwa Mungu

Wana makorokocho Yao tofauti, Mimi nazungunzia madawa Fulani wanajipaka Yana hafufu Fulani mbaya inayofanana. Hao watakuwa na ushirikina wao ila wa pwani ndio hujipaka hayo na sijui mganga wao ni mmoja? Maana unakuta mfanyakazi kapaka ili aogopewe na boss. na boss naye kapaka ili aogopewe na mfanyakazi. Sasa wewe wa mataifa ukifikan ofisini kwake au upo naye siyo Moja kwenye CHOMBO Cha usafiri Cha moto utakiona hilo liharufu la kukera ila yeye yupo comfortable
Ni hao uliokutana nao wewe ... ... .. au ndio kila mtu kwenye hiyo ofisi anatumia Njia zake..takriban wote hapo ndio wale wale.. .. ulozi type!
 
Unaweza kuthibitisha huo ulimwengu wa giza wa shetani na malaika wake upo kweli na si hadithi za mapokeo zinazorudiwa vizazi na vizazi na watu wasiozihoji kwa kina tu?
My friend I am not here to proof if the dark world is there or not, because this is a spiritual thing and even if I explain in details still you can not believe anyway. Just wait one day when you depart from this world you will see horrible things because your spirit will not die. If you are lack the Divine Power can reveal this spritual world to you one day before you die. My prayer is that you don't depart from this world before you know your creator.
 
Unaongelea vitu ambavyo huwezi kuthibitisha vipo, kwa sababu havipo.

Kama unabisha, thibitisha vipo.
 
Mtu wa pwani yoyote haingii kazini bila kujipaka sijui madude gani, ukikaa naye karibu harufu inakera lakini kwao bila hayo haingii kazini. Awe amesoma hata P.H.D awe anasali masaa yote lakini manukato hayo yapatikanayo kwa ma sangoma lazima ajipake
Pwani gani inayouwa wazee wenye macho mekundu??
 
Unapo define neno uchawi, usitumie neno uchawi, kwa sababu neno uchawi ndilo linakuwa defined, ukilirudia neno uchawi katika definition ya uchawi una short circuit definition yako.

Mtu anakwambia anataka umwambie uchawi ni nini, halafu unamwambia uchawi ni uchawi, mpaka hapo ushafeli.

Umeshindwa ku define uchawi, unarudia neno uchawi katika definition ya uchawi!

Hao pepo wabaya unaowasema ukiambiw authibitishe huwezi.

Umeambiwa uthibitishe uchawi ni nini, unaongeza habari z apepo mbaya ambazo nazo huwezi kuthibitisha.
Nimekupa definition ya uchawi na wewe toa yako acha kumbumbulika basi, wewe unajua uchawi ni nini ? Jibu hili swali usianze kurukaruka maana nakujua kawaida yako
 
Wewe hujui hata kanuni za definition, unaambiwa u define uchawi, unarudia neno uchawi katika definition ya uchawi.

Kwa hivyo, kama mtu alikuwa hajui maana ya neno uchawi, anataka umueleze uchawi ni nini kwa maneno mengine, unaporudia neno uchawi katika definition ya uchawi, unamchanganya.

Anajiuliza, huyu vipi? Si nimemuomba a define uchawi? Sasa mbona katika definition ya uchawi anarudia kutaja uchawi?

Siyo tu umeshindwa ku define uchawi, hujui hata definition inakuwaje. Hujui kanuni za msingi kabisa za definition.
 
Unaongelea vitu ambavyo huwezi kuthibitisha vipo, kwa sababu havipo.

Kama unabisha, thibitisha vipo.
Epicurus philosophy imekuharibu yaan imekuvurugia mwelekeo wako wa maisha, jamaa wamekukaririsha madude sio na wewe umeyakumbatia ndio maana nikakwambia mbele ya jina lako ongeza neno KOMO lisomeke Kiranga KOMO
 
Wewe hujui hata kanuni za definition, unaambiwa u define uchawi, unarudia neno uchawi katika definition ya uchawi.

Siyo tu umeshindwa ku define uchawi, hujui hata definition inakuwaje. Hujui kanuni za msingi kabisa za definition.
Ushaanza kurukaruka nimekwambia wewe sasa define uchawi ni nini ? Define wewe unajua uchawi maana yake nini ? Usianze kurukaruka hapa
 
Uchawi ni chaka la watu wajinga na wasiotaka kuchunguza mambo kwa kina kusukumia mambo wasiyoyaelewa.

Jamii za watu masikini na wajinga watu wenye matatizo ya elimu wasiotaka kuumiza vichwa kujua sababu za mambo, wakiona kitu wasichokielewa wanaita uchawi.

Ndiyo maana wakiumwa magonjwa ya kuambukizwa yanayoweza kuelezewa vizuri kibaiolojia, wanakimbilia kusema wamelogwa kichawi.

Badala ya kutafuta sababu za ugonjwa kwa vipimo na kutumia baiolojia, wanakimbilia kusema uchawi.

Na wewe ni mmoja wa watu wenye imani hizo, kwa hivyo sitegemei unielewe.

Kwa sababu upo katika lindi la ujinga.
 
Ushaanza kurukaruka nimekwambia wewe sasa define uchawi ni nini ? Define wewe unajua uchawi maana yake nini ? Usianze kurukaruka hapa
Ni define mara ngapi?

Unachukua hata dakika kadhaa kupumua usome thread vizuri kabla ya kujishaua?

Kati yangu na wewe nani anarukaruka sasa?
 
Jamii za watu masikini na wajinga watu wenye matatizo ya elimu wasiotaka kuumiza vichwa kujua sababu za mambo, wakiona kitu wasichokielewa wanaita uchawi.
Una uhakika na hiki unachokisema au unaropokwa tu ?
 
Wewe define uchawi kwanza (bila kutumia neno uchawi katika definition ya uchawi, yani ukianza uchawi ni.. usitaje tena uchawi, free lesson) kabla ya kujishaua zaidi.
 
Ni define mara ngapi?

Unachukua hata dakika kadhaa kupumua usome thread vizuri kabla ya kujishaua?

Kati yangu na wewe nani anarukaruka sasa?
Nimeshajibu nmeona majibu yako Ila mbona unajikanyagakanyaga Nani aliekukasirisha kua matajiri sio wachawi ? Emu fafanua kwa utulivu
 
Wewe huwezi hata kusoma kwa ufahamu, hilo ndilo tatizo lako.

Hapa unanipa kazi ya kukufundisha kusoma kwa ufahamu sasa, na mimi siko tayari kufanya kazi hiyo.

Wewe huwezi hata ku define uchawi, sioni sababu ya kuendelea kujadiliana nawe.
 
Wewe define uchawi kwanza kabla ya kujishaua zaidi.
Aaaha nilidefine unanicrash Sasa unatoa definition kwa malimbuko yako yaan unadefine kwa mtazamo wako ulionao kwa kuangalia upande kua huyu hivi na hivi ndio definition ya uchawi hio ?
 
Wewe ngumbaru hujui hata definition ni nini na inapangika vipi.

Let alone definition ya uchawi.
 
Wewe huwezi hata kusoma kwa ufahamu, hilo ndilo tatizo lako.

Hapa unanipa kazi ya kukufundisha kusoma kwa ufahamu sasa, na mimi siko tayari kufanya kazi hiyo.

Wewe huwezi hata ku define uchawi, sioni sababu ya kuendelea kujadiliana nawe.
Wewe nimekuuliza swali jibu swali Nani aliekukaririsha kua matajiri sio wachawi ? Jibu swali langu tafadhari umesema mwenyewe
Uchawi ni chaka la watu wajinga na wasiotaka kuchunguza mambo kwa kina kusukumia mambo wasiyoyaelewa.

Jamii za watu masikini na wajinga watu wenye matatizo ya elimu wasiotaka kuumiza vichwa kujua sababu za mambo, wakiona kitu wasichokielewa wanaita uchawi.
Yaan hii sio definition bali ni mtazamo wa mtu binafsi in a negative way, unaweza ukanipa rejea ya hio definition umeitoa wapi au umetunga wewe km wewe ?
 
Wewe ngumbaru hujui hata definition ni nini na inapangika vipi.

Let alone definition ya uchawi.
Najua na naelewa definition ni nini ndio maana nmekwambia nipe rejea umetoa wapi hio definition kwenye kichwa chako si ndio ?
 
Wewe nimekuuliza swali jibu swali Nani aliekukaririsha kua matajiri sio wachawi ? Jibu swali langu tafadhari umesema mwenyewe
Yaan hii sio definition bali ni mtazamo wa mtu binafsi in a negative way, unaweza ukanipa rejea ya hio definition umeitoa wapi au umetunga wewe km wewe ?
Wewe ngumbaru hujui kusoma na mimi sitaki shombo zako, hujui tofauti ya jamii za kimasikini na masikini.

Nakupeleka ignore list kwa sababu upumbavu wako ni mkubwa kuliko uwezo wangu wa kukuelimisha, halafu una uwezo mkubwa wa kubishana kwa pumba bila self reflection.

Kuanzia hapa sitaona posts zako tena.
 
Back
Top Bottom