Maisha ya jamii ya JamiiForums yako poa sana kuliko jamii ya Twitter, Facebook na Insta

Maisha ya jamii ya JamiiForums yako poa sana kuliko jamii ya Twitter, Facebook na Insta

Pascal Mayalla ni miongoni mwa watabiri wazuri sana hapa JF, lakini sijui kwanini hakuwa nastradamus kwenye issue ya mwendazake?
Mkuu Bujibuji Simba Nyamaume , angalia tarehe ya bandiko hili Elections 2015 - Kama Hii ni Kweli, Then, Serikali Yetu ni Serikali Dhalimu?, Haramu?. Hukumu ya Karma ii Juu Yake! humo nimesema
Wanabodi,

Tuhuma yenyewe imetolewa hapa
Tamko la Edward Lowassa Baada ya NEC Kumtangaza Dr Magufuli Kuwa Mshindi wa Kiti cha Urais - JamiiForums

Kama tuhuma hii ni kweli, then serikali ya rais Magufuli itakuwa ni serikali dhalimu, iliyoingia madarakani kwa njia ya udhalimu na uharamu, na udanganyifu wa kwenye sanduku la kura, kitu ambacho sio kizuri kwa mustakabali mwema wa nchi yetu, taifa letu na watu wake, kwa mujibu wa sheria ya karma. Karma ina uzuri wake na ubaya wake, uzuri wa karma ni lazima italipa!, ubaya wa karma, haiitandiki serikali as serikali, kwasababu serikali sio natural being, bali karma itawatandika viongozi wa serikali, waliohusika na udhalimu huu. Tatizo kubwa la karma katika kuwatandika, ni haina Mswalie Mtume wa kujali nani ni nani, ikianza kutembeza kichapo cha bakora, ni bakora tuu kwa kwenda mbele bila kujali nani ni nani!. Ubaya wa karma, haijulikani utalipiza lini, ila ikitokea alietenda udhalimu huu, ameitwa kuondoka duniani kabla ya kulipa deni lote la karma, then deni hili linahamia kwa familia yake!, kitu ambacho its not fair kwa mtu asiye na hatia kubebeshwa kufidia makosa ya mtu mwingine!.

Neno litasimama, mambo mengine yote yatapita, lakini neno litasimama!.

Mungu ibariki Tanzania.

Paskali
Sijui ni wangapi humu wanaelewa kuwa ile issue ni karma imekula kichwa!.
Hili jambo pia hapa nililisema Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him! humu nimesema
Wanabodi,
Ikitokea Magufuli akiwa the real one, yaani ni dikiteta kweli usipomjoin, umekwisha!, hivyo ikitokea Magufuli akawa dikiteta kweli, then Tanzania tunaelekea kwenye utawala wa totalitarian na authoritarian nakurudi kuwa nchi ya chama kimoja!. Ikitokea Magufuli akawa dikiteta kweli, faraja pekee kwa Watanzania itabaki kwa yule aliyemleta, ndiye atakaye mtwaa ili kulisuru taifa la Mungu.

Hoja kuwa Magufuli ni dictator haina mjadala, kwa watu wenye jicho la tatu, wanaona the fire on his eyes, and then fear is the weapon on his heart kwa kutoa hotuba za ukali kama anagomba!, ambayo ni kiashiria cha seriousness ya hasira ambayo inaweza kugeuka chuki na kupelekea visasi toka moyoni mwake, kwa kila atakayetofautiana naye!, na wenye sikio la tatu wanaisikia tone ya ukali wa ukatili kwenye sauti yake!, hii ni ishara kuwa huyu sio mtu wa masihara, watakao tofautiana nae, wanaweza kuumia au hata ...(God forbid), hili likitokea, kutakuwa hakuna jinsi bali kitu kinachoitwa karma, kitaingilia kati na kurekebisha the situation.

Kitu cha muhimu sana cha kufanya kwa sasa ni sisi Watanzania wote, katika umoja wetu, kwa imani kuwa ni Mungu ndio anaweka tawala za mataifa, Tanzania tumefanya uchaguzi mkuu huru na wa haki, Magufuli ndiye ameshinda kihaki na kihalali, then Magufuli ndio chaguo la Mungu kwa Tanzania, akitenda kinyume cha Mungu ni Bwana ndie ameleta na Bwana ndie atatwa, na Jina Lake Lihimidiwe !.

Paskali
Hivyo nilisema japo not expressly but impliedly.
P
 
Mkuu Bujibuji Simba Nyamaume , angalia tarehe ya bandiko hili Elections 2015 - Kama Hii ni Kweli, Then, Serikali Yetu ni Serikali Dhalimu?, Haramu?. Hukumu ya Karma ii Juu Yake! humo nimesema

Sijui ni wangapi humu wanaelewa kuwa ile issue ni karma imekula kichwa!.
Hili jambo pia hapa nililisema Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him! humu nimesema

Hivyo nilisema japo not expressly but impliedly.
P
I salute you kaka mkubwa. Mzee wa sound from within
 
Mkuu Bujibuji Simba Nyamaume , angalia tarehe ya bandiko hili Elections 2015 - Kama Hii ni Kweli, Then, Serikali Yetu ni Serikali Dhalimu?, Haramu?. Hukumu ya Karma ii Juu Yake! humo nimesema

Sijui ni wangapi humu wanaelewa kuwa ile issue ni karma imekula kichwa!.
Hili jambo pia hapa nililisema Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him! humu nimesema

Hivyo nilisema japo not expressly but impliedly.
P
Kaka Mayalla shkamoo
 
Huwa nafurahishwa sana na kile Kingereza chako konki cha Half London. Yaani ukiandika, lazima nitafute Oxford English Dictionary niiweke pembeni. Leo nikipewa nafasi ya kubadili kabila, ntachagua kuwa Muhaya.

Nilipata msichana akaniambia yeye ni mtu wa Bukoba, haraka haraka nikaenda kwao kujitambulisha, kumbe Mnyambo kahamia Bukoba.
scientist hawezi kuwa na kiingereza konki! Mh! Mhaya mimi? nani kasema? Wanyambo differ to some extent from Haya! ingawa wanasikilizana kihaya na Kinyambo by say 80%!
 
Back
Top Bottom