Hawa IRGC ni miamba hasa wamekamilika kuanzia miakili mingi, ulinzi imara na teknolojia ya hali ya juu kabisa.
Saikolojia inasema ukiona mtu anahangaika mara kupost hivi mara hivi kuhusu kipigo cha zayuni basi ujue dawa imemuingiaWanaukumbi.
Maisha ya kawaida yanaendelea katika Eneo Maalum la Kiuchumi la Bandari ya Imam Khomeini huko Khuzestan huku Israel ikidai mashambulizi dhidi ya malengo ya jeshi la Iran.
View: https://x.com/haiderali099/status/1850040504513163449?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Mlisema hivi hivi kwa Hizbullah na Houthi.Kitendo cha zayuni kuingiza ndege kwenye anga la muiran bila kuangushwa hata moja kimewavua nguo wairanHawa IRGC ni miamba hasa wamekamilika kuanzia miakili mingi, ulinzi imara na teknolojia ya hali ya juu kabisa.
Hapo Netanyahu akiona hii video ya dhihaka anazidi kuchanganyikiwa. πππ
Na hao makamamda viongozi wa Hizbollah tunaombiwa na kuoneshwa kuwa wameuwawa ni uongo pia?Wameshindwa bhana wanajeshi 700 na kitu wameenda ...Kiufupi israel kapigwa na Hezbollah
View: https://x.com/Syed_1109084/status/1850007934580695224
Kwahiyo kama ndege zimekosa sehem ya kupiga ulitaka Iran iingie hasara kuziangusha. Wajomba ndio waliokuwa na lengo la kulipiza kisasi sasa kwa bahati mbaya ndege zao zilipofika zilikuta anga limefungwa imara hivyo hapakuwa na pa kupiga.Mlisema hivi hivi kwa Hizbullah na Houthi.Kitendo cha zayuni kuingiza ndege kwenye anga la muiran bila kuangushwa hata moja kimewavua nguo wairan
Kashambulio ka kinyonge sanaIsrael imetumia nguvu kubwa kushambulia, na Iran imetumia nguvu ndogo sana kudhibiti shambulio.
Hakuna madhara yoyote yaliotokea kwa upande wa Iran, japo lengo la Israel lilikuwa kuiangamiza Iran bila mafanikio.
Yani midege 100 inatoka bila kufanikiwa kushambulia hata kituo cha mgambo. Ni hasara iliyoje kutumia mafuta, matengenezo, maandalizi nk halaf wasifanikiwe lengo lao πππKashambulio ka kinyonge sana
Wao si wanasemaNa hao makamamda viongozi wa Hizbollah tunaombiwa na kuoneshwa kuwa wameuwawa ni uongo pia?
Mossad saiv wako busy na watu wa Hollywood kutengeneza video ya kuwapa farajaWanaukumbi.
Maisha ya kawaida yanaendelea katika Eneo Maalum la Kiuchumi la Bandari ya Imam Khomeini huko Khuzestan huku Israel ikidai mashambulizi dhidi ya malengo ya jeshi la Iran.
View: https://x.com/haiderali099/status/1850040504513163449?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Nilitegemea Wajibu zaidi ya HikiWatu wanakula maisha wamebaki kusambaza video za Beirut
Huu mwaka ni mwaka wa aibu kwa Israel baasa ya kupitia vipondo vikali viwili kutoka Iran halafu wakaigiza kwa aibu eti wame retaliate. ππ
Dunia imeshuhudia mwanaume halisi ni Iran aliyewanyoosha Mazayuni twice hadi wakawa na vikao lundo na basha wake USA namna ya kufuta aibu waliyoipata.
Wewe utakuwa mwehu!!Huu mwaka ni mwaka wa aibu kwa Israel baasa ya kupitia vipondo vikali viwili kutoka Iran halafu wakaigiza kwa aibu eti wame retaliate. ππ
Dunia imeshuhudia mwanaume halisi ni Iran aliyewanyoosha Mazayuni twice hadi wakawa na vikao lundo na basha wake USA namna ya kufuta aibu waliyoipata.
Wanapost picha za Beirut , hawa jamaa hawana kitu ni zile kuna watu wameshikiwa akili ya kuamini ni taifa la Mungu.Nilitegemea Wajibu zaidi ya Hiki
Kumbe Wachumba tu hahahaha
View: https://x.com/SuppressedNws/status/1849981835637563571?t=ffGP2KgEZ4VY_8HgcT1Llg&s=19
πππAjabu wanatuonyesha Picha za 2021
Hahaha na Wajinga Humu wanashangilia
Kukaa vikao Na vikao Mwezi mzima
Kujipanga kote huko Mwisho wasiku ZERO
View attachment 3135680