Maisha ya kawaida yanaendelea katika Eneo Maalum la Kiuchumi la Bandari ya Imam Khomeini huko Khuzestan huku Israel ikidai mashambulizi dhidi ya malen

Maisha ya kawaida yanaendelea katika Eneo Maalum la Kiuchumi la Bandari ya Imam Khomeini huko Khuzestan huku Israel ikidai mashambulizi dhidi ya malen

Mwana mfalme Ritz binafsi can't comment anything at this stage first kwasababu moja tu; wote mmevinukuu vyombo vya habari vyenye maslahi na pande husika. Yaani mashabiki wa Israeli wamenukuu vyombo vya habari vyenye mlengo wa kimagharibi while na wewe umenukuu vyenye mlengo wa Kishia or Iran. Mfano Press TV, hiyo ndio TBC ya Iran, hiyo inaweza ku report jambo hasi against Govo ya Irani? Absolutely no. Tuendelee kusubiri though naona kwa mbaali bei za mafuta kupanda bei duniani, hilo lina athari kwetu, whether tupo upande wa Israeli or Iran
 
Israel imetumia nguvu kubwa kushambulia, na Iran imetumia nguvu ndogo sana kudhibiti shambulio.

Hakuna madhara yoyote yaliotokea kwa upande wa Iran, japo lengo la Israel lilikuwa kuiangamiza Iran bila mafanikio.
 
Hawa IRGC ni miamba hasa wamekamilika kuanzia miakili mingi, ulinzi imara na teknolojia ya hali ya juu kabisa.

Hapo Netanyahu akiona hii video ya dhihaka anazidi kuchanganyikiwa. 😂😂😂
Mlisema hivi hivi kwa Hizbullah na Houthi.Kitendo cha zayuni kuingiza ndege kwenye anga la muiran bila kuangushwa hata moja kimewavua nguo wairan
 
Mlisema hivi hivi kwa Hizbullah na Houthi.Kitendo cha zayuni kuingiza ndege kwenye anga la muiran bila kuangushwa hata moja kimewavua nguo wairan
Kwahiyo kama ndege zimekosa sehem ya kupiga ulitaka Iran iingie hasara kuziangusha. Wajomba ndio waliokuwa na lengo la kulipiza kisasi sasa kwa bahati mbaya ndege zao zilipofika zilikuta anga limefungwa imara hivyo hapakuwa na pa kupiga.

Na Ayatollah akawaacha waangaike na kutoka wenyewe nduki bila kukimbizwa.
 
Israel imetumia nguvu kubwa kushambulia, na Iran imetumia nguvu ndogo sana kudhibiti shambulio.

Hakuna madhara yoyote yaliotokea kwa upande wa Iran, japo lengo la Israel lilikuwa kuiangamiza Iran bila mafanikio.
Kashambulio ka kinyonge sana
 
Kashambulio ka kinyonge sana
Yani midege 100 inatoka bila kufanikiwa kushambulia hata kituo cha mgambo. Ni hasara iliyoje kutumia mafuta, matengenezo, maandalizi nk halaf wasifanikiwe lengo lao 😂😂😂
 
Huu mwaka ni mwaka wa aibu kwa Israel baasa ya kupitia vipondo vikali viwili kutoka Iran halafu wakaigiza kwa aibu eti wame retaliate. 😂😂

Dunia imeshuhudia mwanaume halisi ni Iran aliyewanyoosha Mazayuni twice hadi wakawa na vikao lundo na basha wake USA namna ya kufuta aibu waliyoipata.

Ajabu wanatuonyesha Picha za 2021
Hahaha na Wajinga Humu wanashangilia
Kukaa vikao Na vikao Mwezi mzima
Kujipanga kote huko Mwisho wasiku ZERO

20241026_105315.jpg
 
Wewe utakuwa mwehu!!

Kwani mashambulio ya Iran yalileta madhara gani kwa Israel, wakati makombora mengi yalitunguliwa, na mengine kudondokea nyi¹kani kusikokuwa na chochote?
 
Ajabu wanatuonyesha Picha za 2021
Hahaha na Wajinga Humu wanashangilia
Kukaa vikao Na vikao Mwezi mzima
Kujipanga kote huko Mwisho wasiku ZERO

View attachment 3135680
😂😂😂

Yaani hadi kufikia muda huu hakuna video hata moja waliyoachia Wayahudi halisi na Wayahudi wa Kibongoto ikionesha vyuma vikishuka na kupiga target kama tulivyoona live vyuma vikishuka na kupiga target miji ya Tel Aviv, Jerusalem na kadhalika.

Israel kapata aibu ya mwaka na amejidhihirisha rasmi ni kibonde wa Iran.
 
Iran’s air defense force has confirmed Israeli attacks targeting positions in Tehran, Khuzestan, and Ilam provinces, saying the aggression was successfully thwarted.

Read more: presstv.ir/Detail/2024/10…
 
Back
Top Bottom