Maisha ya kuanza kujitegemea ukiwa mtu mzima Ni stress tupu vijana anzeni kujipanga from 25


Mimi nimeanza kujitegemea nikiwa na 21.
 
kiukwel kuanza kujitegemea mapema kunakupa advantage sanaa.
Mfano mimi,

Nimemtia mimba binti wa watu nina miaka 20 nimemaliza form 6.Kajifungua niko mwaka wa kwanza mwishon nakaa hostel nikaamua kuhama kupanga gheto nikiwa na 22 years...nikamuoa nikiwa na miaka 25...

Unapata muda wa kujarib mambo mengi na kufanya makosa wakat una muda wa kuyarekebisha maana ikafika kipind nikaamua kuachana na viajira uchwara hiv na kuingia mtaan kujipambania bearing in mind mambo yakiniwa vigum sana navirudia vyet vyangu.But so far not bad.
 
Mie nimeanza Kujitegemea nikiwa na 21. Kuna Siku nimefuata Meza Ya Sebuleni ya Kioo na Tv ya nch 32 nimenunua Jamaa wa Boda akaniambia We kijana Mbona Mdogo sana Umeanza Kuweka Hivi Vitu. Nikajiuliza Hivi 21 ni mdogo nikamwambia Basi Tu nimependa Kutest Majukumu nione yapoje
 
Bcom.
Ajira nilishasau mda sana kutafuta.
Kuhusu nimekwama wapi sina jibu la kutosheleza ila ubongo umeshindwa kuprocess nifanye nini kupiga hatua nikiwa sina kitu mfukoni.
Nimekosa pesa nimekosa namna ya kujikwamua.Nimekubali hali yangu.
Jilipue mambele mkuu
 
Hayo ndio madhara ya elimu yenu ya mzungu elimu nzur ni ile inayokis maisha na kutumika katika real life hapa nazungmzia darasa la saba ufundi kisha kaz wasomi weng wanachelewa kuoa na kua na familia kuliko darasa la saba na mafund gereji
 
Mzee una 40, unawatoto, huna kiwanja, unaishi nyumbn ya k.upanga, income haaina garentee, watoto wanataka kula,kuvaa nk hapo mkeo lazima aliwe..

Hapo changanya na stress za kuchapiwa ni Siri ya ndani. Mzee umri wa kuishi utashuka tuu
 
We Jamaa ni moja kati ya watu ambao huwa wanani-impress sana hapa Jukwaani.

Asilimia kubwa ya watu wanafikiria mambo mazito ktk kona nyepesi sana.

Ni rahisi sana kumkuta mtu ambaye mambo yake yanaenda anaona wengine kama akili zimeganda au wavivu.
Mafala hawa halafu kingine wana backup kutoka nyumbani


Wanatuona sisi wazembe
 

Hongera sana am 29 naish kwa wazazi nina mke

Nafanya kazi katika ofisi yake napata vijihela ila changamoto uwekezaji wa mzee unahitaji mamilioni

Akikosa za kujizania kwenye harakati zake maza anakuja analialia vijilaki vyangu vyoooote nampatia harafu siku nikiomba hela Angu napigiwa hesabu zooote zimekwisha eti nimetumia mimi (maza yuko kama maguful/ mkali kinomanoma)


Nawaza sana nakosea wapi


Wao wananiinsuare wantaka wahame mkoa waniachie mradi niusimamie so nitulie nyumbani niache kutanga tanga

Mara naambiwa nijipange kulingana na pesa ninayoipata ofisini

Najipanga vipi akati vijisenti nnavopata wanazunguka wanaomba kutatulia changamoto zao
 
Hama hapo home kwanza.
Wanakuona huna majukumu ndio maana wanachukua hela.

Hulipi kodi
Hulipi bili ya chakula
Unalelewa wewe na mke wako.

Hela za nini sasa?

Hama home.
 
below 30 umri wa kujilipua tu yanibhutakiwi kuwaza... ukivuka hiyo ndo maisha yanaanza sasa ...

Nna mwaka mmoja wa kufanyaaamuzi magumu mno yatayoakisi maisha gani naishi huko mbele...

Vyeti vipo lakini naona vinanilostisha tu nataka niingie mtaani full gear mbeke kwa mbele huko kitaeleweka...

Maana nimeajiriwa private ila moyo uko mtaani kabisa naona napoteza gape tu la mtaani...

Kama john cena My time is now
 
Is true but,too much theoretically!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…