Professor of jungle
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 422
- 802
Vya kufikiria kufanya ni vingi ila bila msingi wa kuanzia bado tatizo upand wangu.Mkuu harakati gani unazofikiria kuzifanya ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vya kufikiria kufanya ni vingi ila bila msingi wa kuanzia bado tatizo upand wangu.Mkuu harakati gani unazofikiria kuzifanya ?
Kama nikipata nafasi ya kuzungumza na kijana mwenye umri chini ya miaka 30 ningemshauli aanze maisha ya kujitegemea akiwa na miaka 25 kuliko akisubilia afike 30,35 au 40 atakuja kupata stress hatari
Kuna umri ukifika kama haukujianda kujitegemea ukiwa na umri kuanzia 25 ukishaanza kuwa mtu mzima kuanzia 30 kuja juu cha moto utakiona mbaya zaidi kama kuna watu ulikuwa unawategemea sasa hawapo Au kuna kitu ulikuwa unakitegemea kupata kama ajira Au upewe mtaji wa biashara ndipo uanze mipango ya kutoka nyumbani uanze kujitegemea itakuja kuku gharimu kwani utakuja kushanga unagonga age of 40 hujiwezi wala huna unaloliweza matokeo yake unageuka mzigo wa familia ndugu jamaa na marafiki
Part one
manina hahahahaMimi nina miaka 56 na nipo kwetu hauko peke yako mkuu tunakusapoti
baba aliniambia nimekua nihame nikamwambia labda yeye ndio ahame aende kwao mimi hapa ndio kwetu...
Naomba tukujengee sanamu lako hewani mkuu🤣🤣🤣🤣Mimi nina miaka 56 na nipo kwetu hauko peke yako mkuu tunakusapoti
baba aliniambia nimekua nihame nikamwambia labda yeye ndio ahame aende kwao mimi hapa ndio kwetu...
Jilipue mambele mkuuBcom.
Ajira nilishasau mda sana kutafuta.
Kuhusu nimekwama wapi sina jibu la kutosheleza ila ubongo umeshindwa kuprocess nifanye nini kupiga hatua nikiwa sina kitu mfukoni.
Nimekosa pesa nimekosa namna ya kujikwamua.Nimekubali hali yangu.
Hayo ndio madhara ya elimu yenu ya mzungu elimu nzur ni ile inayokis maisha na kutumika katika real life hapa nazungmzia darasa la saba ufundi kisha kaz wasomi weng wanachelewa kuoa na kua na familia kuliko darasa la saba na mafund gerejiKama nikipata nafasi ya kuzungumza na kijana mwenye umri chini ya miaka 30 ningemshauli aanze maisha ya kujitegemea akiwa na miaka 25 kuliko akisubilia afike 30,35 au 40 atakuja kupata stress hatari
Kuna umri ukifika kama haukujianda kujitegemea ukiwa na umri kuanzia 25 ukishaanza kuwa mtu mzima kuanzia 30 kuja juu cha moto utakiona mbaya zaidi kama kuna watu ulikuwa unawategemea sasa hawapo Au kuna kitu ulikuwa unakitegemea kupata kama ajira Au upewe mtaji wa biashara ndipo uanze mipango ya kutoka nyumbani uanze kujitegemea itakuja kuku gharimu kwani utakuja kushanga unagonga age of 40 hujiwezi wala huna unaloliweza matokeo yake unageuka mzigo wa familia ndugu jamaa na marafiki
Part one
Mzee una 40, unawatoto, huna kiwanja, unaishi nyumbn ya k.upanga, income haaina garentee, watoto wanataka kula,kuvaa nk hapo mkeo lazima aliwe..Mchawi ni kutokukubali ulipo sasa hivi Ili ikuwezeshe kusonga mbele na kufanya maamuzi ya kubadili maisha Yako.
Sawa utatoboa, but una mikakati ipi ya kukuwezesha kuondoka point hiyo uliyopo right now na kusonga mbele?
Miezi sita iliyopita ulikuwa same spot? Nusu mwaka same routine different days?
Mafala hawa halafu kingine wana backup kutoka nyumbaniWe Jamaa ni moja kati ya watu ambao huwa wanani-impress sana hapa Jukwaani.
Asilimia kubwa ya watu wanafikiria mambo mazito ktk kona nyepesi sana.
Ni rahisi sana kumkuta mtu ambaye mambo yake yanaenda anaona wengine kama akili zimeganda au wavivu.
Nilianza vibarua na Kazi za kujilipua nikiwa Nina umri wa miaka 20, mwaka mmja baad ya kumaliza form Iv, baada ya kuona kufanya Kazi na mzazi Tena unakaa kwake hutoboi, mnapiga Kazi ya maana full ushirikiano unaambuliwa kupewa pesa ya malapa..
Nilishakaa Central siku 4 (traffic case), stakishari 3 (traffic case), Tabata police post siku moja kwa kesi ya kubambikiziwa ya mauaji ya Askari.. baada ya misoto ya kwenda Moro, mvua-duthumi- bwakila- Dakawa- Kisaki miezi mitatu baadae nikaamia Mang'ula, ifakara, Mbingu, na baadae Mlimba vijiji vya ndani ndani karibu kabisa na Mbeya.
Napo huko sikufanikiwa, nikaamia kwenye Kazi za Takataka hapahapa Dar kwa wakandarasi baadae nikapata mtaji nikawa naenda Iringa ruaha mbuyuni mbugani huko, Kama mchuuzi wa mbogamboga na kuleta kuuza solo la sambusa kigogo kwa kina dalali Mwasiliwa ...
Napo huko nikaambuliwa kutapeliwa na mwanamke mmj mfanyabiashara mwenzangu ambaye nilikuwa na uhusiano naye wa kimapenzi. Sikukata tamaa japo nilikuwa mweupe nikaanza kuuza mishikaki barabarani ya Mia mbili Mia mbili, napo sikufanikiwa kwa kuwa teyari nilikuwa na leseni yangu fresh, nikapata mchongo wa school bus shule moja ya Joshua mbezi beach na wadhamini walikuwepo wa kunibeba walinipigania kweli, maana Uongozi wa shule ulikataa kwa kuwa sikuwa na CV ya kufanya Kazi mahali Kama kuajiliwa hasa magari ya shule, na leseni ilikuwa Ni changa kwenye madaraja ya C, umri mdogo.MUNGU alisimama upande wangu wakanikubali, nikapiga Kazi Kama miezi kadhaa, nikaacha baada ya kupata dili la u supervisor wa taka kwenye Kampuni ya Greenwest Co LTD tawi la ukonga, kwa mitaa ya ukonga naifahamu vema haikuwa kazi ngumu kwangu...
Wakati nafanya Kazi greenwest nikapata mchongo wa PESPI, Na ukizingatia jamaa walikuwa wameshaanza kusumbua kuhusu malipo wakidai mapato ya makusanyo Ni madogo na gharama za uendeshaji Ni kubwa, na uchawi ulishaanza kuwa mwingi kazini, nikaamua kujizatiti kukomaa na mchongo mpya wa PEPSI, MUNGU akanisimamia kwa wakati mwingine Tena, nikapiga interview mbili, nikafanya vizuri wakanikubali nikala shavu.
Mpaka Sasa nimeamua kutumia hapa kwanza kugain experience na CV nzuri huku nikiendelea kula matunda ya harakati zangu..
Anyway Sasa hivi Nina 25, Nina mke na Mtoto mmj...
Hama hapo home kwanza.Hongera sana am 29 naish kwa wazazi nina mke
Nafanya kazi katika ofisi yake napata vijihela ila changamoto uwekezaji wa mzee unahitaji mamilioni
Akikosa za kujizania kwenye harakati zake maza anakuja analialia vijilaki vyangu vyoooote nampatia harafu siku nikiomba hela Angu napigiwa hesabu zooote zimekwisha eti nimetumia mimi (maza yuko kama maguful/ mkali kinomanoma)
Nawaza sana nakosea wapi
Wao wananiinsuare wantaka wahame mkoa waniachie mradi niusimamie so nitulie nyumbani niache kutanga tanga
Mara naambiwa nijipange kulingana na pesa ninayoipata ofisini
Najipanga vipi akati vijisenti nnavopata wanazunguka wanaomba kutatulia changamoto zao
Is true but,too much theoretically!Kama nikipata nafasi ya kuzungumza na kijana mwenye umri chini ya miaka 30 ningemshauli aanze maisha ya kujitegemea akiwa na miaka 25 kuliko akisubilia afike 30,35 au 40 atakuja kupata stress hatari