Maisha ya kuanza kujitegemea ukiwa mtu mzima Ni stress tupu vijana anzeni kujipanga from 25

Mwaka wa 30 nipo nyumbani. Nimejitahidi sana kutoka home nikaanzishe maisha mengine lakini mahesabu yamegonga mwamba. Naishi kwenye familia ya mzazi mmoja cha ajabu mother hasemi chochote yeye yupo bize na inshu zake. Warembo 3 wamenikimbia kisa kuendelea kwangu kukaa nyumbani. Kila napojaribu kuondoka vinatokea vikwazo lukuki hadi nimekata tamaa maana siku zote nabii hakubaliki kwao yaani kukaa kwangu home kumezuia fursa nyingi sana za kutofanikiwa kwani ujasiri wa kupambana umepungua pia kwa mazingira ya nyumbani huwezi kutengeneza network mpya kwani watu wanaokuzunguka ni wale wale. Kuna wakati naingiwa na hisia labda nimerogwa au vp. Maana kila nachofanya hakifanikiwi.

Umri wa miaka 30 sijaanza kujitegemea bado! sina mtoto sina demu na wala sijui nitaoa lini huwa naumia napoona washkaji young kuliko mimi wakiwa na familia zao wakati kwangu najiona nimeshafikia umri wa kuwa na majukumu hayo yani inaniuma sana. Mbali na hivyo bado sina kipato cha uhakika mishe zenyewe za kuungaunga leo umepata kesho umekosa so unakuta hata nashindwa kuchangia hata kwenye masuala ya kijamii hadi watu wanakuona mtu wa ajabu kutokana na life ninayoishi.

Naomba kuwasilisha wadau
 
Umri wa miaka 30 sijaanza kujitegemea bado! sina mtoto sina demu na wala sijui nitaoa lini naumia napoona washkaji young kuliko mimi wakiwa na familia zao wakati kwangu najiona nimeshafikia umri wa kuwa na majukumu hayo yani inaniuma sana. Mbali na hivyo bado sina kipato cha uhakika mishe zenyewe za kuungaunga leo umepata kesho umekosa so unakuta hata nashindwa kuchangia hata kwenye masuala ya kijamii hadi watu wanakuona mtu wa ajabu kutokana na life ninayoishi.

Naomba kuwasilisha wadau
Pambana Mzee utoke home na upate hata mtt
 
Hapa tunazungumzia financially independence maana ndio inabeba independence zote zilizobakia![emoji1787][emoji1787][emoji1787] Shukur mungu kama ulibahatika kuipata hio independence ukiwa still young! Wengi ambao familia duni walitegemea kuipata kupitia michongo ila ndio hivyo sasa ngoma ishakuwa ngumu mtaa!

Maisha haya bana..,wengi wamekwama mpaka 30’s mtu hana ramani sio kama anapenda ila wengine kick tu ya kutokea inakosekana! Angalau ujue hata mlo wako utaupata vipi vinginevyo utaondoka na kuwa unarudi kula kwenu
Daah,mi nashukuru Mungu sana aisee niliplan nikimaliza form 6 (19) nijitegemee na kweli nilisoma chuo nikitokea gheto kwangu bila boom wala hela ya mzazi!! Kwanza ukitokea familia masikini ndo unawah kujitegemea sababu maisha yanakushape,watoto wengi wanaoshindwa kutoka nyumbani ni watoto wa mama mboga 7,wanajiuliza wataanzaje anzaje maisha,mtoto wa kiume lazima ujifunze kujitegemea ukiwa bado mdogo,ujue kupanga bajet na kutafuta kipto chako kwa njia halali!!
 
Pambana Mzee utoke home na upate hata mtt
Pamoja sana mwamba. Naendelea kupambana maana hakuna uchawi kwa mentali hivyo naimani ipo cku milango itafunguka na bahari itakuwa shwari.
Mishe zitapatikana, nitaanza kujitegemea na hatimaye familia itaanzishwa.
 
Mwaka wa 30 nipo nyumbani. Nimejitahidi sana kutoka home nikaanzishe maisha mengine lakini mahesabu yamegonga mwamba. Naishi kwenye familia ya mzazi mmoja cha ajabu mother hasemi chochote yeye yupo bize na inshu zake. Warembo 3 wamenikimbia kisa kuendelea kwangu kukaa nyumbani. Kila napojaribu kuondoka vinatokea vikwazo lukuki hadi nimekata tamaa maana siku zote nabii hakubaliki kwao yaani kukaa kwangu home kumezuia fursa nyingi sana za kutofanikiwa kwani ujasiri wa kupambana umepungua pia kwa mazingira ya nyumbani huwezi kutengeneza network mpya kwani watu wanaokuzunguka ni wale wale. Kuna wakati naingiwa na hisia labda nimerogwa au vp. Maana kila nachofanya hakifanikiwi.

Umri wa miaka 30 sijaanza kujitegemea bado! sina mtoto sina demu na wala sijui nitaoa lini huwa naumia napoona washkaji young kuliko mimi wakiwa na familia zao wakati kwangu najiona nimeshafikia umri wa kuwa na majukumu hayo yani inaniuma sana. Mbali na hivyo bado sina kipato cha uhakika mishe zenyewe za kuungaunga leo umepata kesho umekosa so unakuta hata nashindwa kuchangia hata kwenye masuala ya kijamii hadi watu wanakuona mtu wa ajabu kutokana na life ninayoishi.

Naomba kuwasilisha wadau
Bro isikate tamaa najua hupendi ila pamban maisha sio mashindano usipoteze furaha
 
Back
Top Bottom