Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Namuangalia huyu Mbunge. Naona amesifiwa kukimbia anapitiliza hadi kwao. Haya anayoyasema ni maneno mazito sana. Watu washaanza kumwangalia kwa jicho la utulivu. Anahatarisha maisha kwa mitanzania ambayo hata haina habari.
Angejilia zake maisha....aaenjoy tu life na pesa za Ubunge anapata. Ana shida gani? Anajitia kimbelembele sana. Anataka kusema yeye ana uchungu kuliko watanzania zaidi ya Milion 60? Atulie tu au sababu yeye hana pa kula ndo anataka kuharibia wenzie?