Maisha ya Luhaga Mpina mashakani sana. Anakoelekea siyo kuzuri

Maisha ya Luhaga Mpina mashakani sana. Anakoelekea siyo kuzuri

Namwangalia huyu Mbunge. Naona amesifiwa kukimbia anapitiliza hadi kwao. Haya anayoyasema ni maneno mazito sana. Watu washaanza kumwangalia kwa jicho la utulivu. Anahatarisha maisha kwa mitanzania ambayo hata haina habari.

Angejilia zake maisha....aaenjoy tu life na pesa za Ubunge anapata. Ana shida gani? Anajitia kimbelembele sana. Anataka kusema yeye ana uchungu kuliko watanzania zaidi ya Milion 60? Atulie tu au sababu yeye hana pa kula ndo anataka kuharibia wenzie?
Sasa unataka watu wajadili nini kwenye mada ya kipumbavu kama hii!

Hopeless Kabisa.
 
Namwangalia huyu Mbunge. Naona amesifiwa kukimbia anapitiliza hadi kwao. Haya anayoyasema ni maneno mazito sana. Watu washaanza kumwangalia kwa jicho la utulivu. Anahatarisha maisha kwa mitanzania ambayo hata haina habari.

Angejilia zake maisha....aaenjoy tu life na pesa za Ubunge anapata. Ana shida gani? Anajitia kimbelembele sana. Anataka kusema yeye ana uchungu kuliko watanzania zaidi ya Milion 60? Atulie tu au sababu yeye hana pa kula ndo anataka kuharibia wenzie?
Labda umefanya utafiti na kugundua kwamba Watanzania miloni 60 hawana uchungu? Na kwanini tuamini unayotueleza?
 
....hakuna mtu ataishi milele mkuu
Ni bora ufe umesimama kuliko kufa umepiga magoti....ni hivyo tuu
Ndio wanashangaa Isreal. Wanawaua watoto wa Palestina kumbe na wato wao hawataishi milele
Bora Palestina wanakufa wakipigania nchi yao na dini yao
 
Wewe ni Mwigulu Nchemba? Au ni mtoto wake? Acheni ujambazi wa pesa za umma
Sawa tutaacha nanyi mkianza kupata akili za kujikwamua. Ila mkiishia kupiga tu kelele JF hatuachi. Mabwege nyie
 
Mbaya zaidi ya wote ni Madelu huyo mbaya sana watapanga kikosi kazi ....kumpunguzia siku za kuishi......majizi hatareeeee
Mwigulu alitoa kauli fulani ya hasira dhidi ya Mpina aliposema kwamba yeye akirudi kwao Singida anapokelewa kwa shangwe tofauti na Mpina, mpaka spika akamwambia aifute ile kauli.

Mpina kawa muwazi sana kaamua kujivisha mabomu awamu hii lakini ipo hatari kwake yeye binafsi.
 
Back
Top Bottom