Maisha ya Luhaga Mpina mashakani sana. Anakoelekea siyo kuzuri

Namwangalia huyu Mbunge. Naona amesifiwa kukimbia anapitiliza hadi kwao. Haya anayoyasema ni maneno mazito sana. Watu washaanza kumwangalia kwa jicho la utulivu. Anahatarisha maisha kwa mitanzania ambayo hata haina habari.

Angejilia zake maisha....aaenjoy tu life na pesa za Ubunge anapata. Ana shida gani? Anajitia kimbelembele sana. Anataka kusema yeye ana uchungu kuliko watanzania zaidi ya Milion 60? Atulie tu au sababu yeye hana pa kula ndo anataka kuharibia wenzie?

Hii Dunia walifanikiwa ni wale waliojitoa mhanga. Let Mpina be
 
Namwangalia huyu Mbunge. Naona amesifiwa kukimbia anapitiliza hadi kwao. Haya anayoyasema ni maneno mazito sana. Watu washaanza kumwangalia kwa jicho la utulivu. Anahatarisha maisha kwa mitanzania ambayo hata haina habari.

Angejilia zake maisha....aaenjoy tu life na pesa za Ubunge anapata. Ana shida gani? Anajitia kimbelembele sana. Anataka kusema yeye ana uchungu kuliko watanzania zaidi ya Milion 60? Atulie tu au sababu yeye hana pa kula ndo anataka kuharibia wenzie?
Umetumwa?

Hatokufa Hadi siku yake ifike alopangiwa na Mungu.
 
Namwangalia huyu Mbunge. Naona amesifiwa kukimbia anapitiliza hadi kwao. Haya anayoyasema ni maneno mazito sana. Watu washaanza kumwangalia kwa jicho la utulivu. Anahatarisha maisha kwa mitanzania ambayo hata haina habari.

Angejilia zake maisha....aaenjoy tu life na pesa za Ubunge anapata. Ana shida gani? Anajitia kimbelembele sana. Anataka kusema yeye ana uchungu kuliko watanzania zaidi ya Milion 60? Atulie tu au sababu yeye hana pa kula ndo anataka kuharibia wenzie?
Naona UMETUMWA na UMELIPWA na Rais wa MAWE
 
Yaani upo JF miaka 10 bado hujagundua haya ni mazingaombwe ya CCM hakuna anayechukuliwa hatua hizo ni mbinu za uchaguzi, yaani mbwa anapokaribia kufa anabwekaaaaa.
 
Mpina ana faida gani, au ana faida kwako? Yule ni mnafki tu na jazba zote kwasababu ya kuukosa uwaziri. Mwambieni yule mshamba wenu arudishe mashamba ya wananchi Mvomero

Ila hii nchi tunapoelekea sijui tu, mtu anayepinga ufisadi ndiye anayetukanwa matusi, mtu anaye pigwa risasi auawe na kupona ndio anaye dharauliwa na wananchi.
 
Namwangalia huyu Mbunge. Naona amesifiwa kukimbia anapitiliza hadi kwao. Haya anayoyasema ni maneno mazito sana. Watu washaanza kumwangalia kwa jicho la utulivu. Anahatarisha maisha kwa mitanzania ambayo hata haina habari.

Angejilia zake maisha....aaenjoy tu life na pesa za Ubunge anapata. Ana shida gani? Anajitia kimbelembele sana. Anataka kusema yeye ana uchungu kuliko watanzania zaidi ya Milion 60? Atulie tu au sababu yeye hana pa kula ndo anataka kuharibia wenzie?
Kufa ni lazima kila kiumbe chenye uhai kitakufa

Muache Luhaga Mpina atimize MAJUKUMU yake ya kibunge kwa sababu hata asipotimiza atakufa tu
 
Namwangalia huyu Mbunge. Naona amesifiwa kukimbia anapitiliza hadi kwao. Haya anayoyasema ni maneno mazito sana. Watu washaanza kumwangalia kwa jicho la utulivu. Anahatarisha maisha kwa mitanzania ambayo hata haina habari.

Angejilia zake maisha....aaenjoy tu life na pesa za Ubunge anapata. Ana shida gani? Anajitia kimbelembele sana. Anataka kusema yeye ana uchungu kuliko watanzania zaidi ya Milion 60? Atulie tu au sababu yeye hana pa kula ndo anataka kuharibia wenzie?
Luhanga Mpina anamiliki hekari 3000 za ardhi Morogoro alizipatapataje anajua mwenyewe. HAKUNA MWANA CCM ALIYE MSAFI HATA AKIZALIWA LEO.
 
Namwangalia huyu Mbunge. Naona amesifiwa kukimbia anapitiliza hadi kwao. Haya anayoyasema ni maneno mazito sana. Watu washaanza kumwangalia kwa jicho la utulivu. Anahatarisha maisha kwa mitanzania ambayo hata haina habari.

Angejilia zake maisha....aaenjoy tu life na pesa za Ubunge anapata. Ana shida gani? Anajitia kimbelembele sana. Anataka kusema yeye ana uchungu kuliko watanzania zaidi ya Milion 60? Atulie tu au sababu yeye hana pa kula ndo anataka kuharibia wenzie?
Minjingu afya ya akili Iko sawa?
 
Sote hatuwezi na hatutakiwi kufanana Maisha si lazima uwe mbunge Tena wa CCM.
 
Namwangalia huyu Mbunge. Naona amesifiwa kukimbia anapitiliza hadi kwao. Haya anayoyasema ni maneno mazito sana. Watu washaanza kumwangalia kwa jicho la utulivu. Anahatarisha maisha kwa mitanzania ambayo hata haina habari.

Angejilia zake maisha....aaenjoy tu life na pesa za Ubunge anapata. Ana shida gani? Anajitia kimbelembele sana. Anataka kusema yeye ana uchungu kuliko watanzania zaidi ya Milion 60? Atulie tu au sababu yeye hana pa kula ndo anataka kuharibia wenzie?
kasahau wakati wankuoima samaki?
 
Mpina anaongea vema ila hata yeye ni mtu wa hovyo tu.
Ni vile humu tuna fake ID ila tunamfahamu kiasi flani aliwahi kuhitilafiana na JPM kwa sababu ya rushwa.

Aliomba rushwa mahala JPM akatuma vijana wake ndio maana hakurudi kwenye uwaziri.

Mengine hatupendi kuyasema wala hatusemi kwa sababu anaongea kuhusu mafisadi Bungeni
 
Namwangalia huyu Mbunge. Naona amesifiwa kukimbia anapitiliza hadi kwao. Haya anayoyasema ni maneno mazito sana. Watu washaanza kumwangalia kwa jicho la utulivu. Anahatarisha maisha kwa mitanzania ambayo hata haina habari.

Angejilia zake maisha....aaenjoy tu life na pesa za Ubunge anapata. Ana shida gani? Anajitia kimbelembele sana. Anataka kusema yeye ana uchungu kuliko watanzania zaidi ya Milion 60? Atulie tu au sababu yeye hana pa kula ndo anataka kuharibia wenzie?
Naona binge (bunge) ni kama ze comedy Ile ya kina Masanja mkandamizaji, Mpoki, Vengu, Joti, Wakuvanga..

NB.
Kama Mpina anasema ukweli na yupo upande wa haki...Itatuchukua miaka Mingi kama taifa kuweza kujimudu na kuingia second world countries ama first world countries..

R.i.p JPM enzi zako uliogopwa sanaa Kuna officer mmoja MWANDAMIZI senior aliwai kuogopa kuchukua pesa ya ku brashia viatu niliyo mpa
Leo hii watu hawana tena woga Wala hofu Leo hii hali ni mbaya zaidi

"KILA MBUZI NA ALE KWA UREFU WA KAMBA YAKE" in mama Samia voice
 
Anaona wivu wenzie wanavyojipatia mijihela na ana hasira nao. Anateseka kwa mali ya umma kuibiwa angetulia tu kama wenzie wanavyokula.
Duuuh ama kwel hata ifike 2700, Tanzania hatutaendelea kwa fikra hizi.
 
Kwa hiyo mmenza kumtisha maana mnaona kwamba ni hatari kwenye maslahi yenu eeeh wajinga nyie mnatunza hela nyingi Wakati watanzania wengi wanaishi maisha ya shida
 
Kama Luhaga anasema kweli kwa ayasemayo basi ni mmoja katika elfu na anatakiwa aungwe mkono. Ila kama hajui anachokisema kwa maana ya anatunga tunga ku draw attention basi ni mtu hatari sana katika jamii.

Ila hivi hawa kina Mpina mbona enzi za jiwe walikuwa kimya tu nao, au ni hakukuwa na ufisadi kabisa na mambo yalikuwa yamenyooka tu ?
Luhaga Mpina kashindwa kukemea hata COVID 19 tu wanaendelea nao wakipiga pesa. nchi hii ngumu
 
Namwangalia huyu Mbunge. Naona amesifiwa kukimbia anapitiliza hadi kwao. Haya anayoyasema ni maneno mazito sana. Watu washaanza kumwangalia kwa jicho la utulivu. Anahatarisha maisha kwa mitanzania ambayo hata haina habari.

Angejilia zake maisha....aaenjoy tu life na pesa za Ubunge anapata. Ana shida gani? Anajitia kimbelembele sana. Anataka kusema yeye ana uchungu kuliko watanzania zaidi ya Milion 60? Atulie tu au sababu yeye hana pa kula ndo anataka kuharibia wenzie?

Mnafiki tu yeye na genge lake ndiyo wanapunguza bei ya Pamba. Kwanini asianze na hilo
 
Namwangalia huyu Mbunge. Naona amesifiwa kukimbia anapitiliza hadi kwao. Haya anayoyasema ni maneno mazito sana. Watu washaanza kumwangalia kwa jicho la utulivu. Anahatarisha maisha kwa mitanzania ambayo hata haina habari.

Angejilia zake maisha....aaenjoy tu life na pesa za Ubunge anapata. Ana shida gani? Anajitia kimbelembele sana. Anataka kusema yeye ana uchungu kuliko watanzania zaidi ya Milion 60? Atulie tu au sababu yeye hana pa kula ndo anataka kuharibia wenzie?
Kavunja sheria? Katukana mtu?
Hebu acha mawazo maduumavu, ndio maana ChukuaChakoMapema wanatufanya mazombi kutokana na watu kama wewe..

Una mawazo duni sana sana
 
Mpima samaki aache ngebe wakati wake umepita acha wenzie wale ni wakati wao.
 
Back
Top Bottom