Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 5,010
- 4,083
Ila hoja zake ni za msingiGubu, hasira, wivu vinamtesa. Alisifiwa na hayati JPM kwa namna alivyokuwa akifanya kazi lakini baadae hayati akamgeuka baada ya kumgundua ni mtu wa aina gani.
Tuachane na Mpina tuzungumze hoja zake ni za uongo au za kweli?