Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Haha saasisha alikuibia mke ndg?? HahaaSaashisha anayejificha mfukoni mwa doyo biteko mbona humuoni?
Tatizo la nchi yetu ndio hilo mtu akiwa anasema ukweli tunamkatisha tamaa kwa kumtisha eti atulie hawezi kutetea watanzania milioni 60, tunasahau kuwa tulimpa kura ya kutuwakilisha akasemee yale ambayo hayasdemwi siyo kuogopa na kuhofia usalama wakeNamwangalia huyu Mbunge. Naona amesifiwa kukimbia anapitiliza hadi kwao. Haya anayoyasema ni maneno mazito sana. Watu washaanza kumwangalia kwa jicho la utulivu. Anahatarisha maisha kwa mitanzania ambayo hata haina habari.
Angejilia zake maisha....aaenjoy tu life na pesa za Ubunge anapata. Ana shida gani? Anajitia kimbelembele sana. Anataka kusema yeye ana uchungu kuliko watanzania zaidi ya Milion 60? Atulie tu au sababu yeye hana pa kula ndo anataka kuharibia wenzie?
. Anahatarisha maisha kwa mitanzania ambayo hata haina habari.
YawezekanaUsikute nae anapiga kelele sababu kopo la asali halijampitia, akibugizwa asali mdomoni hatozungumza, usiwaamini wanasiasa ni wachumia tumbo haswaa
Kabisa aiseee.... nakubaliana nawe.Watu wenye mtazamo kama huu wa kwako ni wa kunyongwa tu hadharani. Maana hamna faida yoyote ile kwenye jamii ya wapenda haki, usawa na pia mabadiliko ya kweli katika nchi.
Upo sahihi kwa asilimia 100....hakuna mtu ataishi milele mkuu
Ni bora ufe umesimama kuliko kufa umepiga magoti....ni hivyo tuu
Gubu, hasira, wivu vinamtesa. Alisifiwa na hayati JPM kwa namna alivyokuwa akifanya kazi lakini baadae hayati akamgeuka baada ya kumgundua ni mtu wa aina gani.Namwangalia huyu Mbunge. Naona amesifiwa kukimbia anapitiliza hadi kwao. Haya anayoyasema ni maneno mazito sana. Watu washaanza kumwangalia kwa jicho la utulivu. Anahatarisha maisha kwa mitanzania ambayo hata haina habari.
Angejilia zake maisha....aaenjoy tu life na pesa za Ubunge anapata. Ana shida gani? Anajitia kimbelembele sana. Anataka kusema yeye ana uchungu kuliko watanzania zaidi ya Milion 60? Atulie tu au sababu yeye hana pa kula ndo anataka kuharibia wenzie?
Anaona wivu wenzie wanavyojipatia mijihela na ana hasira nao. Anateseka kwa mali ya umma kuibiwa angetulia tu kama wenzie wanavyokula.Gubu, hasira, wivu vinamtesa. Alisifiwa na hayati JPM kwa namna alivyokuwa akifanya kazi lakini baadae hayati akamgeuka baada ya kumgundua ni mtu wa aina gani.