Maisha ya Luhaga Mpina mashakani sana. Anakoelekea siyo kuzuri

Sasa unataka watu wajadili nini kwenye mada ya kipumbavu kama hii!

Hopeless Kabisa.
 
Labda umefanya utafiti na kugundua kwamba Watanzania miloni 60 hawana uchungu? Na kwanini tuamini unayotueleza?
 
....hakuna mtu ataishi milele mkuu
Ni bora ufe umesimama kuliko kufa umepiga magoti....ni hivyo tuu
Ndio wanashangaa Isreal. Wanawaua watoto wa Palestina kumbe na wato wao hawataishi milele
Bora Palestina wanakufa wakipigania nchi yao na dini yao
 
Wewe ni Mwigulu Nchemba? Au ni mtoto wake? Acheni ujambazi wa pesa za umma
Sawa tutaacha nanyi mkianza kupata akili za kujikwamua. Ila mkiishia kupiga tu kelele JF hatuachi. Mabwege nyie
 
Mbaya zaidi ya wote ni Madelu huyo mbaya sana watapanga kikosi kazi ....kumpunguzia siku za kuishi......majizi hatareeeee
Mwigulu alitoa kauli fulani ya hasira dhidi ya Mpina aliposema kwamba yeye akirudi kwao Singida anapokelewa kwa shangwe tofauti na Mpina, mpaka spika akamwambia aifute ile kauli.

Mpina kawa muwazi sana kaamua kujivisha mabomu awamu hii lakini ipo hatari kwake yeye binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…