Maisha ya machimbo ya dhahabu ni zaidi ya jeshi, nilikimbia


Delusional.
 
Kuna uongo mwingi humu, japo mazingira ya utafutaji wa dhahabu ni kweli magumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale wachina wa Saza nilisikia wameondoka ila sina uhakika, kuna wachina wengine Mdimi alinunua claim yao na kavuta umeme kwa 800M TSH. Wachina wajinga wajinga tu.

Wachina walishaondoka kwa sababu za kikodi. Saza ipo Wilaya ya Songwe, wanapeleka marudio kuozeshwa Matundasi (Wilaya ya Chunya), wilaya zote zinataka mapato. Wachina wakasepa. Kwa kifupi hizo ndiyo sababu tulizoambiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anyway, kwani Kuna hasara gani anayopata mtu aliyekufa?
 
Uongo kama upi
Wewe ulimwamini kwa 100% aliyekusimulia?
Story imechanganywa na uongo, nawe ukaamini Kila kitu ni sahihi.

Mazingira ya uchimbaji madini DR Congo huyajui (pengine hata kidogo), lakini nawe ukaamini uliyosimuliwa Kwa 100%, ndiyo maana umeleta story kama ilivyo kwamba "akadumbukia kwenye Mto wenye Mamba, mara Wanajeshi amewakwepa, mara hajala siku kadhaa..... Bla bla bla bla". Ndugu, story yako inamkanganyiko Kwa sababu imechanganywa uongo na ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambe nishamsikia 🀣 ujanja ujanja ulikua mwingi kipindi kile hadi sasa upo ila kama unajua unachokifanya na una mtaji hii biashara inalipa.
huyu mzee Mwambe alikuwa anakusanya dhahabu na kuweka Store, alikua ana handaki ndani ya nyumba yake. Kuna mambo aliyokuwa akiyafanya na hakuna mtu yeyote aliyekuwa akijaribu kupanga kumvamia ili kuiba dhahabu. Unaambiwa alikuwa na kiasi kikubwa maana kilasiku alikuwa akiletewa na wapambe wake aliowapa vipimo na kuwagawia pesa kwa asilimia waliokuwa wamekubaliana. Sasa wazungu katika survey yao kwa ndege wakagundua eneo la nyumba ya yule mzee Kuna azina kubwa sana ya dhahabu. Sikumoja wakamuibukia na kumwambia wanakitaka lile eneo, wapo tayari wampe 1 Billion pia watamjengea nyumba ya kifahali eneo lolote analotaka Mbeya mjini na ahadi ya kuwasomesha watoto wake mpaka level ya chuo.
Mzee akawasikiliza na kunyanyuka kwenda ndani, alirudi na mfuko na kumwaga dhahabu mbele za wale wazungu na kuwaambia "Hizi nimewapa kama dhawadi kwa kunitembelea, nimewasikiliza na naomba muondoke."πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Wazungu wakatoa macho baada ya kugundua kuwa sio kama dhahabu ipo chini ya ardhi bali mtu anayo ndani ya nyumba yake kaitunza na kiasi kile amewapa kama dhawadi tu, je huyo mtu huko store ana kiasi gani?πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Leo nimepokea taarifa ya kifo cha ndugu yangu akiwa machimboni huko Mkwajuni.

Sababu ya kifo bado haijaelezwa ila taarifa ya mwanzo tuliyopokea tulibiwa kulitokea ajali.
Pole sana mkuu, uchimbaji mdogo wa maduala ajari ni nje nje especially Kama duala halijafungwa timba vizuri au wakazembea kufunga duala baada ya koleo zaidi ya nne.
Rest in peace bro wetu
 

Sio uongo na ukweli bali ni uongo tena uongo wa kitoto mwanzo mwisho. Inabidi uwe zwazwa kuamini hiyo story. Hizo ni story za vijiweni watu wakishatumia mihadarati wanaanza kudhani wapo mbele.
 
Uongo ni upi taja?? :kwani mto wenye mamba ni kila sehemu?
 
Sio uongo na ukweli bali ni uongo tena uongo wa kitoto mwanzo mwisho. Inabidi uwe zwazwa kuamini hiyo story. Hizo ni story za vijiweni watu wakishatumia mihadarati wanaanza kudhani wapo mbele.
Sehemu ipi niyauongo ambayo Duniani haiwezi kututokea kama binadamu?? Au tumwite Scars nae aje atoe maoni yake
 
vyema sana... Wazazi wengi wa kiafrica wakifa wao hata biashara zao zinakufa...sababu hazina warithi wa kuweza kuziendeleza kweli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…