Maisha ya madaktari wa Kitanzania na umaskini wao na kuishia katika kupata heart attack

Wewe utakua Daktari wa TAMISEMI mwenye maisha magumu umechakaa unahisi Kila Daktari ni MPUMBAVU na MASIKINI kama wewe
1.hoja ya kua 80% ya madaktari wanatoka family masikini ni UONGO,
Medicine Ili uingie vyuo vya serikali ambavyo ni 3 unahitaji ufaulu mkubwa sana wa advance,ambapo kivyovyote vile lazima utoke shule Kali,hata kama umesoma serikalini advance lazima tu o level uwe umesoma private Kali,
Hivi unajua ya kua kwenye vyuo 11 vya medicine Tanzania ,vitatu tu ni vya serikali,hio ni asilimia ngapi?
Masikini anaweza kusoma St Joseph,Kampala,ama Kairuki?
2.kwa hio madaktari nchi nzima wanalipwa mshahara sawa?
3.tuchukulie wewe upo TAMISEMI na ni MPUMBAVU,je huko TAMISEMI ni professional gani akianza kazi analipwa zaidi ya MD?
 
Ninyi ndio wale ambao still utamkuta daktari hospitalini na atakusaidia kwa moyo mmoja, sikushangai na uzuri hospital ni sehemu pekee ambayo utaenda tu na utawakuta haohao ambao unasema wakafie mbele
Wewe ndio LIPUMBAVU unalia Lia kama SHOGA,hii nchi hadi leo haina Rheumatoologist wala Endocrinologist we unasema medicine haina hela,yaani kwa kua unafanya KAZI TAMISEMI na umekua LIPUMBAVU ndio unahisi Kila mtu ni bwege kama wewe
 
Kwa hio daktari bingwa wote wanalipwa hio hela bila kuangalia taasisi,uzoefu wala ujuzi?
Ninaposema wewe ni LIPUMBAVU namaanisha
Kijana nenda shule acha kulia Lia utaoelewa ufirwe
 
Huyu kijana analia Lia kama LIPUMBAVU lijinga
Namuuliza huko TAMISEMI ni nani akianza kazi analipwa zaidi ya MD?
lazima tukubali hii nchi ni ya kifisadi na ni masikini,hiko hiko kidogo kinagawiwa kwa wote,usijione wewe pekee ni unapata kidogo
 
Hoja zako zote mi validi isipokua
1.kua wanaosoma madaktari ni masikini
UONGO
A.nenda vyuo vya serikali 3 vya medicine Fanya survey kwa MD1 advance walisoma shule zipi?
B.angalia matokeo ya shule za serikali,zitoe specials schools,angalia waliopata divisoni one chini ya 5 PCB ambao obviously wataenda,MD government uone ni wangapi?
C.hakuna lower class kwenye nchi hii anaweza somesha mtoto medicine private university ambapo ada kwa mwaka ni zaidi ya per capital ya familia hata kama mtu ana mkopo hawezi hata iweje,ada ya Kairuki au st Joseph ni Per capital ya familia kwa miaka 3 hio
2.kwani hadi leo Doctor na watumishi wengine wa umma wanafanya kazi masaa mangapi kwa siku as per standing order?
 
Wewe ndio LIPUMBAVU unalia Lia kama SHOGA,hii nchi hadi leo haina Rheumatoologist wala Endocrinologist we unasema medicine haina hela,yaani kwa kua unafanya KAZI TAMISEMI na umekua LIPUMBAVU ndio unahisi Kila mtu ni bwege kama wewe
Shida unaongea haujui vitu nenda muhimbili kamuulizie mzee Salehe ni nani na ambaye anamrisisha majukumu ni nani? Unaleta ujuaji wa kijinga unafikiri tuna matahir****a kama wewe, unajiita hematopoetic organ unafikiri kuna mtu anakili mnemba kama zako, unafikiri mtu akiongea jambo anaonesha ukosefu wa akili, tulia na ndio kwanza tunaanza.
 
Kwanza rudi shule kajifunze kuandika vizuri, with this paragraph, i can assume ni mtu kiraka wa namna gani, umetoboka zaidi ya dekio, sasa sikia, ujui kaa kimya, sio unakuja hapa unaharisha tu.
 
Kazi kwelikweli unatofauti gani na mganga Yericko
 
Wewe ndio LIPUMBAVU unalia Lia kama SHOGA,hii nchi hadi leo haina Rheumatoologist wala Endocrinologist we unasema medicine haina hela,yaani kwa kua unafanya KAZI TAMISEMI na umekua LIPUMBAVU ndio unahisi Kila mtu ni bwege kama wewe
Shida unaongea haujui vitu nenda muhimbili kamuulizie mzee Salehe ni nani na ambaye anamrisisha majukumu ni nani? hao ndio ma Rheumatologist, nenda Mbeya Zonal aka MZRH kaulizie kama hamna Endocrinologist, Unaleta ujuaji wa kijinga unafikiri tuna matahir****a kama wewe, shwaini kabisa, unajiita hematopoetic organ unafikiri kuna mtu anakili mnemba kama zako, unafikiri mtu akiongea jambo anaonesha ukosefu wa akili, tulia na ndio kwanza tunaanza.
 
Poleni wataalam, ila sasa umeangalia upande wa madaktari tu vipi kuhusu wengine wa kada ya afya au na wao hawana umuhimu kwenye suala la maslahi?
 
Poleni wataalam, ila sasa umeangalia upande wa madaktari tu vipi kuhusu wengine wa kada ya afya au na wao hawana umuhimu kwenye suala la maslahi?
Yaani mtu anasema analipwa kidogo ilhali kwenye hio taasisi wewe ndio unalipwa sana/zaidi ya wenzako
Huo ni upumbavu wa hali ya juu sana,
Unageneralize kwa sababu wewe ni LIPUMBAVU na masikini basi Kila mtu kwenye field yupo kama wewe
 
Narudia tena wewe ni LIPUMBAVU NA LIMASIKINI LA TAMISEMI HUKO
MD Wenzako kibao wanaojilewea wapo MDH,Jhpiego etc wanakula salary za U.S we umekaa kulalamika tu unasubiri kufirwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…