Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Wapiganaji wa kikosi cha kijeshi cha Hamas cha Alqassam wamerudia mara nyingi katika wiki kwamba wako tayari kuachia mateka 70 inaowashikilia kwa sharti kwamba vita visitishwe kwa siku tano tu na kuruhusu misaada kuwafikia watu wa maeneo ya Gaza.
Kwa maelezo ya waandishi wa habari viongozi wa Israel wamekataa pendekezo hilo kwa vitendo kwa kuendelea kupiga hospitali ambazo tayari zimesimama kufanya kazi kwa kusihiwa na kila kitu.
Ni zipi faida itakazozipata Hamas kwa kutekelezwa masharti hayo na zipi itakuwa hasara kwa upande wa Israel.
Tumia akili yako kujadili jambo la maana katika wakati mgumuj kabla hali haijabadilika ghafla.