Maisha ya mfalme Bolkiah wa Brunei yanatisha

Maisha ya mfalme Bolkiah wa Brunei yanatisha

Jina lake halisi ni (Sultan Haji Hassanal Bolkiah Mu'izzaddin Waddaulah ibni Al-Marhum Sultan Haji Omar Ali Saifuddien Sa'adul Khairi Waddien Sultan and Yang di-Pertuan) wa Brunei taifa lilopo mashariki kusini mwa bara la Asia.

Amekuwa sultan wa 29 wa Brunei yenye mji wake mkuu uitwao Darussalam kwa miaka 52 sasa tangu alipoingia madarakani mwaka 1967 kwa kumrithi baba yake.

Mwaka 1980 alitajwa na gazeti la Forbes kuwa mtu tajiri zaidi duniani akiwa na utajiri wa Dollar Bilioni 12.

Mbali na kuwa Sultan pia ni waziri mkuu wa Brunei, pia ni waziri wa ulinzi, amiri jeshi mkuu, waziri wa fedha, waziri wa mambo ya nje na biashara.

Anamiliki magari mengi zaidi duniani. Kwenye yadi yake Kuna Ferrari 452, Koenigeggs 134, BMWs 209, Jaguars 179, Aston Martin 11, McLaren F1s 11, Lamborghini 21 na Rolls Royals 600. Kwa hivyo pia ana garage kubwa zaidi duniani.

Anamiliki na kukaa kwenye jumba kubwa zaidi duniani lenye ukubwa wa ekari 49, Vyumba vya kulala 1788 na mabafu ya kuogea 257.

Ni msomi wa hali ya juu akijikusanyia jumla ya shahada za awali (bachelor degree) 6, shahada za uzamili (Masters degree) 6 na shahada za uzamivu (PhD) 2.

Ameifanya nchi yake kuwa ya kwanza kwa wananchi kutokulipa kodi. Huduma zote za afya ni bure kwa watu wote. Hazina ya mafuta na utalii ndizo zinalisha nchi nzima.

Anamiliki ndege iliyotengenzwa kwa dhahabu yenye thamani ya pesa za kitanzania Shilingi Bilioni 520. Ndege hiyo ina sebule, vyumba vya kulala na bafu na choo. Yeye mwenyewe ndiye rubani wa ndege hiyo.

Anamiliki viwanda vya kusafisha mafuta zinazomuingizia kiasi cha Dollar 6,000 kila dakika sawa na Shilingi milioni 13 za kitanzania.
View attachment 1751504
Nimeona jina la Dar es Salaam
Allah akijaalia nasi tutafika huko in shaa Allah watanzania wenzangu msikate tamaa tumeanza kuridhi jina ...utajiri unafuata
 
1618382458020.png
1618382514528.png
1618382627817.png
1618382627817.png
1618382514528.png
1618382458020.png
 
Jipe moyooo😜
sio jipe moyo, huo ndio ukweli maana ukiwa na heala unasasambua warembo kama kina paula....sasa mtoto kama yule ukimuone tuu dushe lenyewe linasimama. hela myt not bring u love and a wife but it certainly will buy u the sexiest lady ur heart desires. mvuto kitu muhimu sana kwenye kugegedana.
 
Back
Top Bottom