Maisha ya mfalme Bolkiah wa Brunei yanatisha

Maisha ya mfalme Bolkiah wa Brunei yanatisha

1618426351739.png
 
Ndio anae watoto tena mmoja katulia kwelikweli swala tano...ila mwingine kicheche balaa, mlevi anashindaga italia huko na mambo ya mpalange

Anatumia acc gan insta? Huyo kicheche na huyo swala tano
 
sasa huyu akisema mitano tena wananch wanasema milele sheikh 😀😀😀😀😀😀
Ndio ni wamilele kwavile ni Mfalme nchi ni milki yake na akifariki, anarithiwa na mwanawe au mtu wa kwenye family yake
 
Ndio ni wamilele kwavile ni Mfalme nchi ni milki yake na akifariki, anarithiwa na mwanawe au mtu wa kwenye family yake
Ata ukiwa rais na ukafanya hivyo wananchi watakwambia uwe rais mpaka kufa
 
Nchi Ina utajiri mkubwa na Ina population ya watu Kama laki 4.5 tu Yani Kama wilaya moja ya Kinondoni unategemea kweli utawalipisha Kodi ???

Hao watu kuwahudumia ni kazi rahisi sana kulingana na pato la taifa aisee wacha wale Bata.
 
Back
Top Bottom