Maisha ya mfalme Bolkiah wa Brunei yanatisha

Wewe siyo mkulima mpaka unachagua jembe zote zinaangalia chini
 
Aisee kweli ni tajiri yetu macho!
 
Viongozi wa ccm wajifunze kwa huyu jamaa maana wenyewe kodi tu na fain
 
Utofauti wa kifo chake na chako ni kwamba mwamba amekula maisha mazuri tangu enzi na enzi wakati wewe unapigika mpaka muumba atakapokuita.
Sio kweli. Anachokula nakula pia,anachovaa navaa pia. Ana magari 500,lakini sio kwamba anaendesha kwa pamoja. Ataendesha moja litamfikisha anakoenda,na mimi la kwangu linanifikisha ninakoenda pia.
Nyongeza ni afadhali mara 10 maisha yangu kuliko yake. Yeye anaishi kwa wasiwasi sana,kwanza ksbb ya maisha yake ya dhuluma. Pili kila wakati anahofia maisha yake,hasa kwamba ipo siku wananchi watagharambuka na kumpa kisogo akose hata kwa kukimbilia. Tatu duniani zipo nchi zimemzuia kuingia huko ksbb ya ufisadi,japo yeye anatamani kwenda huko. Kwa ujumla maisha yake sio kama yangu. Yake yataishia kwa mateso,pamoja na kuishi kwa wasiwasi sasa. Rejea ghadaf
 
Mwanadamu ni mavumbi na mavumbini atarudi.
 
Yule alikuwa wa Chattle
 
Lakini mwisho wa siku anakunya kama mimi Na utamu wa bao kama mimi tuu bado hakuna kipya
 
Hii ndio point ya msingi mzeeya...magari miatano ya nini? Kuwa na magari matano na ndege basi. Alafu hakikisha sasa vidosho unao kama 20 hivi.
20 havitoshi fanya viwe kama buku na ushee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…