Maisha ya mfalme Bolkiah wa Brunei yanatisha

Wananchi kutolipa kodi peke yake haiwasaidii kitu. alichowafanyia mfalme wa QATAR wananchi wake ni 1) Hawalipi kodi 2)masomo bure, matibabu bure 3) mshahara kila mwezi bila kufanya kazi tena nyumba na usafiri juu yake
 
Unaweza kukuta na utajiri woote huo jamaa ana kibamia!!?
manake waswahili wanasema huwezi kupewa vyote
 
Wananchi hawalipi kodi!ah wamwache atawale milele tu huyo ndiyo anajua kuongoza

Ova
Yaani Huyo ndio shujaa

Sio yule shujaa feki anaewaita watu wanyonge wakati yeye anawapiga parefu

Sio ajabu Hadi Leo anatawala
 
ndo nipo njiani kuelekea huko, huku kwa mpalange nimepachoka
 
Huko Brunei Kama sijakosea si watu karibia wote wameshapatiwa chanjo ya covid-19
 
Wananchi kutolipa kodi peke yake haiwasaidii kitu. alichowafanyia mfalme wa QATAR wananchi wake ni 1) Hawalipi kodi 2)masomo bure, matibabu bure 3) mshahara kila mwezi bila kufanya kazi tena nyumba na usafiri juu yake
sasa huyu akisema mitano tena wananch wanasema milele sheikh πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
ndo mida yake hii na chapat mbili
Ni kweli mkuu. Hivi unajua hata baadhi ya viongozi wa Marekani Protokali inaagiza walinzi wao wasizime magari 24/7???

Nadhani ni kuanzia cheo cha Sec of State. Akiingia kulala lile GMC linabaki sailensa mpaka asubuhi. Kwaajili ya emergency
 
Ana toto lake moja linapenda starehe balaa, linaimport kina kardashian, jlo , mariah carey etc
Nadhani unamsemea mdogo wake, hadi walimkamata na kumnyang'anya baadhi ya mali maana alikua ana kufuru sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…