Maisha ya Mtumishi wa Serikali ni Magumu mno. Mungu aingilie kati

Acha upimbi angalia makato hayo na hiyo take home yake
Nakushauri tafuta mradi wowote na usitegemee mshahara.
Hata ukilipwa milioni 10 haitakutosha utalalamika tu.
Yani unalipwa laki 9 na bado unalia lia?

Zingatia ushauri.
Usije ukakurupuka ukaacha kazi.
Utakuja kulia na kusaga meno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama hukuchukua mkopo tafsiri yake sasa hivi huna makato

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuwe wakweli mishahara serikalini ni midogo,just imagine graduate mzima baada ya kukaa miaka chungu nzima darasani na msoto wrote ule anakuja kulipwa chini ya million mmoja! Kweli?
Ni bora hiyo kuliko kutokuwa na ajira kabisa, na hata wakati unasota darasani hakuna siku uliambiwa utaajiriwa na serikali!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna watu nawadharau kama walimu, ni mabingwa wa kulalama alafu wana hiyo tabia kila ikifika tarehe 20 wanakimbilia jf kuulizia salary kama imetoka utafikiri wameambiwa hawatalipwa! Hawa watu inapaswa kuwaongezea makato akili iwakae sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Si Bora wewe take home laki 4 na usher.mimi Nina Mika 30 kazini Nina degree 1. Ninapitwa Mshahara na mwanangu mwenye Degree 1 kama Mimi mwenye miaka 2 kazini . Ni mwajiriwa huku huku serikalini. Basic yake ml2. Nusu. Take home 1800000. Maumivu Sana Ajira hazina Usawa wa income.
 
13 now
.. Ni aibu.

Na hapo najiona na bahati.. Kuna wenzangu wako chini Huko. Mfumo wa madaraja hauko uniform. Kuna mambo ya ajabu sana.

Waoneni tu walimu wanaenda kazini na kurudi.
.. Meanwhile wakati mkilalama kuhusu hicho kidogo mnachopata kuna mshenzi mmona anayelala juu ya mawe anaumia roho sana kuona jinsi serekale inavyotenga bajeti kubwa kwa ajili ya kuwalipa mishahara watumishi.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
JAMANI Mwachenii Mungu apumzikee
Wagonjwa wanamuhitaji
Wafanyabiashara
WANAFUNZI
Na nyie tena WATUMISHI woi
#pambaneninahalizenuu tu
 
Nyoteee mkuuu
Safishaa nyotaa yakoo ingaee usitake ifananenlakini
 
Mhhh hali inatishaa eeh,kuna nyuzi zinasema hardware ni biashara nzuri kumbe kiuhalisia hardware nazo ziko taaban[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Teacher ulikopa ukacheza BIKO nini?😁

Kipato hakijawahi kutosha siku zote,ukiona huko ulipo ni pagumu jaribu unakoona ni rahisi halafu ulete mrejesho.
 

Kwanini azae watoto 4 wakati hana kipato cha kuwa accommodate ? Huoni kama ni tatizo hilo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…