Hahahahaha napingaaa...... Wewe mzee wa assist huwezi kaa chumba kimoja wewee Chama kubwa . Akina sie hohehahe ndo wa single room humohumo chumbani humohumo sebuleni sometimes jikoni khakhakhaaaaaaa
Cc Smart911
[emoji122][emoji122][emoji122] well said chief, na mfano malidhawa kabisa....asante sana.Kwenye movie Pursuit of HappYness kuna kipande Will Smith anatembea high street anaona kila mtu kapendeza,anafuraha kasoro yeye maisha yake ni magumu sana.
Ghafla akamuona mzee mmoja anaingia kwenye kwenye Ferrari akamfuata akamuuliza, what do u do and how do u do? Jamaa akamwambia I'm a stock broker,if you are good in Math you can do it.
Kuanzia pale Will akaamua kupigana awe stock broker na alifanikiwa akawa millionare. Ni true story inamhusu somebody Gardner.
Kitu cha kujifunza Will didnt hate other people coz they are successful and happy. He was inspired and said to himself I wanna be like them. Sasa wewe endelea kuona kuwa na gari ni kujikweza,kuwa na dstv ni kujionesha,kusoma/kuishi Ulaya/US ni kuringa,kuwa na nyumba ni show off.
Kuna watu humu kwa kuona fulani anaongelea sana vitu fulani wao wanachukulia positive na kumfuata huyo mtu kuomba ushauri kwenye nyanja hio ila wapo wengine wanaosikitisha,wanachukulia negatively ndio hawa wanaoanzisha thread kama hizi.
[HASHTAG]#GetAngry[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BeInspired[/HASHTAG]
[HASHTAG]#KeepHating[/HASHTAG]
Nilikuwa na pita kimya kimya mara paaaap..'! Post ya Prondo ikaniibua.Kwenye movie Pursuit of HappYness kuna kipande Will Smith anatembea high street anaona kila mtu kapendeza,anafuraha kasoro yeye maisha yake ni magumu sana.
Ghafla akamuona mzee mmoja anaingia kwenye kwenye Ferrari akamfuata akamuuliza, what do u do and how do u do? Jamaa akamwambia I'm a stock broker,if you are good in Math you can do it.
Kuanzia pale Will akaamua kupigana awe stock broker na alifanikiwa akawa millionare. Ni true story inamhusu somebody Gardner.
Kitu cha kujifunza Will didnt hate other people coz they are successful and happy. He was inspired and said to himself I wanna be like them. Sasa wewe endelea kuona kuwa na gari ni kujikweza,kuwa na dstv ni kujionesha,kusoma/kuishi Ulaya/US ni kuringa,kuwa na nyumba ni show off.
Kuna watu humu kwa kuona fulani anaongelea sana vitu fulani wao wanachukulia positive na kumfuata huyo mtu kuomba ushauri kwenye nyanja hio ila wapo wengine wanaosikitisha,wanachukulia negatively ndio hawa wanaoanzisha thread kama hizi.
[HASHTAG]#GetAngry[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BeInspired[/HASHTAG]
[HASHTAG]#KeepHating[/HASHTAG]
Hahah niache nakwambiahahaaa kwani wewe hutaki Gari ...au wajishebedua tu hapa....
kwanza unaitwa kwenye ule Uzi unaosema kuwa kila mwanamke anajiuza ..ila tofauti ni mazingiravya kujiuza tu ....HAHAA
hahaa hay ndio matatizo ya kuzaliwa masika haya ..watoto kama nyinyi huwa hamna adabu kwa wakubwa zenuHahah usikubali akupeleke huko kwa waganga wa kwao,utapikwa kama mboga haha
Na ni masika kweli haha nlizaliwa kipindi cha neema kabisa,nna adabu mpaka nashindwa kuibebahahaa hay ndio matatizo ya kuzaliwa masika haya ..watoto kama nyinyi huwa hamna adabu kwa wakubwa zenu
KabisaLol.. Waganga hapana..... akashindwe [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] kwa Damu ya yesu
Cc Smart911
Sina la kuongezeaSasa wee jamaa unachoshangaa ni kitu gani? Unataka tutumie ID fake lakini tuwe halisi? Mtaani kunabaki kuwa mtaani na JF yanaishia JF.
Hata hivyo iwe mtaani au JF, usijilinganishe na mtu mwingine. Usimchukie bila sababu anaekuzidi, chukulia kama changamoto ufanye vizuri zaidi yake.
Hali kadhalikabusimdharau unaemzidi, ongeza bidii usirudi huko.
Hahah umeanza lini urogaji?hahaaaaa wanikana eeehhh ..thauwaaa nitarudi baadae nina meeting na mshana
wapi niliposema kuwa naroga ..mkuuHahah umeanza lini urogaji?