Maisha ya mwana JamiiForums nje na ndani ya JamiiForums

Ninayo OG nilinunua HMV. Nikimaliza kuangaliia Chelsea vs Crystal Palace on DSTV nitaiangalia tena on my SONY DVD player na JVC 42'' flat screen!
[HASHTAG]#LetMePretend[/HASHTAG]

View attachment 710770

We live once Chief, quality matters bro.
Ujue hata Yesu alikua mtu wa standard...unakumbuka alipakwa mafuta ya gharama sana na yule mwanamke. Funga kazi ni ile kanzu yake, ilipigiwa kura na wajeshi wakiigombania, unaweza kujua ilikua ni kanzu ya aina gani.

Tunapozungumzia standard au viwango sio dhambi waungwana mtuelewe..

Mkuu kama una hizi movie tutafutane japo za zamani

1 Match point
2 The Sentinel
 
nunua malaya nalipa
 
hahaaa ndio kwanza nataka kununua baiskeli ..nimeanza kununua kengere na breki zake kwanza ...nadhani mpka mwezi wa 6 ndoto yangu ya kumiliki baiskeli itakuwa imeshatimia mkuu...

namuomba Mungu inshaallah
Malengo na utekelezaji ndio kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…