Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vikao na mshana ni kwa ajil ya nin?wapi niliposema kuwa naroga ..mkuu
Hahaha kama avatar yakoMdomo wangu umebaki wazi....[emoji47] [emoji47]
Ninayo OG nilinunua HMV. Nikimaliza kuangaliia Chelsea vs Crystal Palace on DSTV nitaiangalia tena on my SONY DVD player na JVC 42'' flat screen!
[HASHTAG]#LetMePretend[/HASHTAG]
View attachment 710770
cc: JiwedogoMdomo wangu umebaki wazi....[emoji47] [emoji47]
pesaaaVikao na mshana ni kwa ajil ya nin?
nunua malaya nalipaAsalaam wanajukwaa!!
Katika kutumia mtandao huu ( jamiiforums) mzuri na ninaoupa kipaumbele sana nimepata uzoefu na maswali mengi yakinizunguka akilini mwangu kuhusu members wa hii familia ya jamiiforum.
Kutokana na maswali hayo yalinipa hitimisho ama uzoefu mpya kabisa!!
Kiukweli namna watu wanavyojipambanua humu, ni tofauti kabisa na hali zao zilivyo, nafafanua kwa kila kundi ama jinsia kama ifuatavyo:-
1 KUNDI LA WANAUME WA JF.
Wanavyojisifu:-
I/wengi kama sio wote wana miliki magari au usafiri mzuri, yaani wengi hawapandi daladala kwenda kazini ama majumbani Kwao
ii/ wengi kama si wote wana kazi nzuri zenye mishahara mizuri, hapa utakuta watu wanabeza hasa wenzao wanaolipwa mfano laki Tatu au mbili kwa mwezi.
iii/ wengi kama sio wote ni watu wa vitengo ( usalama wa taifa na wanajeshi)[emoji23] [emoji23] [emoji23]
iv/ Hakuna asikari polisi hata mmoja humu jamiiforum, huwezi kukuta mtu akijipiga kifua humu kuwa yeye ni polisi ila tuna wajeda karibia wote humu[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
v/ Humu walimu wanadharaulika kwa sababu wanalipwa kidogo. Hivyo hatuna member ambao ni maticha humu labda tupate Leo.
vi/ wanaume wote wa jamiiforum hawatumii TV za chogo majumbani/ maghetoni Kwao, wao wana flat screen TVs ( smart TV) za bei kubwa hivyo yeyote anayetumia TV ya chogo huhesabiwa mlalahoi wa jf.
2.KUNDI LA WANAWAKE.
I/wote ni warembo, yaani vibinti vibichi.
ii/ wote wana K mnato.
iii/ wote ni wahitimu wa kuanzia shahada ( degree). Humu jf hakuna mwanamke mwenye elimu darasa la saba au form four.
iv/ kuwahonga mademu wa humu jamiiforum labda uanzie laki mbili na si chini ya hapo.
v/ wengi kama sio wote wamepanga nyumba nzima yaani apartment.
vi/ vinywaji vyao ni saint Anna, savanna, Grants, na castle lite kwa Mara chache.
vii/ Hakuna majimama humu jamiiforum, wote ni vimwana wazuuri.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
HITIMISHO.
Kijana mwenzangu usijaribu kushindana na mazuri ya jamiiforum, kwani huu ni ulimwengu wa waliofanikiwa ( the world of granted).
Ingia shambani lima, fundisha, cheza italipa zaidi.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sijakusoma mzee BujibujiJamiiForums original haifiki Huko mikoani, Hicho mnachotumia Huko ni version ya mwaka 1952
Hahahaaa. Mie Kaka ntakuja kutembelea siku moja hapo Skuli.Mimi naitwa Dreka Drake.
Nafundisha skuli ya lumumba hapa Zanzibar.
Nmehitimu shahada ya elimu miaka sita iliyopita.
Walimu tupo jf. Sema mtoa mada ni mvivu wa kufuatilia.
Hata wewe mpendwaHahahahaha napingaaa...... Wewe mzee wa assist huwezi kaa chumba kimoja wewee Chama kubwa . Akina sie hohehahe ndo wa single room humohumo chumbani humohumo sebuleni sometimes jikoni khakhakhaaaaaaa
Cc Smart911
Malengo na utekelezaji ndio kila kituhahaaa ndio kwanza nataka kununua baiskeli ..nimeanza kununua kengere na breki zake kwanza ...nadhani mpka mwezi wa 6 ndoto yangu ya kumiliki baiskeli itakuwa imeshatimia mkuu...
namuomba Mungu inshaallah