binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] warembo wangu wawili wote nawalipia ada ya private nikiwaambia watu hawaamini km sina sapoti ht ya mzazi mwenzangu kumbe zile karanga na askirimu zoote sikosi faida ya elf 30 per day nalipa vicoba yangu yanaenda yaleee !!Hata mimi nabeba boksi, natawaza vibabu na vibibi, nafua chupi zao, napangusa matapishi, na Kisura wangu anasoma private school.
[emoji1]
Ama baada ya salam nimewamiss sanaWassalaam
[emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji3] nawaheshimu sana nyie this yr nalima aiseeSisi wakulima mnatusahau sana japo tuna umuhimu sana [emoji18][emoji18].
Twende mama, twende.......[emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji3] nawaheshimu sana nyie this yr nalima aisee
Bado halijafika, liko njiani[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]Okay nimekuelewa mkuu, ni yako, enhee gari liko wapi!? Tuma picha[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hakuna namna mamaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3]nalima kabisaTwende mama, twende.......
Hahaha, mkuu ya kweli haya?Umesahau humu wote kasoro mm utasikia nmewahi ishi urusi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3]Dahhhh maisha hayako fair kabisa.. Yani sina hata TV ya Chogo [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]
Mleta maada inatakiwa aulizwe anapenda kutembelea jukwaa gani?Sisi wakulima mnatusahau sana japo tuna umuhimu sana [emoji18][emoji18].
HahahahaaFaiza aliniiga tu huyo.
Kanikuta humu JF.
Mleta Mada kafeli sana na tafiti yakeKumbe gari ni kitu kikubwa sana?ukiishi kwa kuangalia maisha ya watu utapata tabu sana
Mwalimu mwenzangu mambo?Kuna watu hawajiamini ujue wana inferiority complex kitu ambacho ni ujinga haswaa!!
Na hivi makonda ametupa vitambulisho vya kupanda gari buree[emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji2] mpk raha silipi nauli miyee!!!
Ticha shikamoo,mwanya huo,mmmhMwalimu mwenzangu mambo?
Mleta maada inatakiwa aulizwe anapenda kutembelea jukwaa gani?
Akijibu ndio tujue uwezo wake wa kujua mambo ya wengine
Itoshe kusema kuwa sitamani lifestyle ya MTU na anavyomiliki ila huwa natamani sana kutimiza ndoto zangu, niliyoleta humu ni hoja za kuhusisha baadhi ya members wenye kuguswa na premises above!Kumbe gari ni kitu kikubwa sana?ukiishi kwa kuangalia maisha ya watu utapata tabu sana