Maisha ya mwana JamiiForums nje na ndani ya JamiiForums

Maisha ya mwana JamiiForums nje na ndani ya JamiiForums

Hata mimi nabeba boksi, natawaza vibabu na vibibi, nafua chupi zao, napangusa matapishi, na Kisura wangu anasoma private school.

[emoji1]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] warembo wangu wawili wote nawalipia ada ya private nikiwaambia watu hawaamini km sina sapoti ht ya mzazi mwenzangu kumbe zile karanga na askirimu zoote sikosi faida ya elf 30 per day nalipa vicoba yangu yanaenda yaleee !!

Biashara usizolipia kodi zina faida kiasi chetu sisi kwa kweli
 
Okay nimekuelewa mkuu, ni yako, enhee gari liko wapi!? Tuma picha[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Bado halijafika, liko njiani[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Mleta maada inatakiwa aulizwe anapenda kutembelea jukwaa gani?

Akijibu ndio tujue uwezo wake wa kujua mambo ya wengine
Kumbe gari ni kitu kikubwa sana?ukiishi kwa kuangalia maisha ya watu utapata tabu sana
Itoshe kusema kuwa sitamani lifestyle ya MTU na anavyomiliki ila huwa natamani sana kutimiza ndoto zangu, niliyoleta humu ni hoja za kuhusisha baadhi ya members wenye kuguswa na premises above!

Ukisoma na kutumia vizuri akili kunielewa nadhani hautaona tatizo mkuu
 
Back
Top Bottom