hahaha lkn si umebonyeza kweli dada emmy![emoji1][emoji1]Hahaaa. Siwezi kukupita kimya kimya rafiki.
Ila sio kwa misamiati hiyo rafiki. Lol.
nakuja chief...[emoji124][emoji124]Nipo Tabora kijiji cha Ifucha. kama yupo member asongee pm fasta...
Hahahaa. Ndio nilibonyeza kweli kaka.hahaha lkn si umebonyeza kweli dada emmy![emoji1][emoji1]
Natamani kufika sikonge siku moja aseeNipo sikonge,mm askari polisi
Kweli kabisaHata Insta Facebook SnapChat mambo ni haya haya. Unakuta mdada anapost kila siku yupo Cape town Fish Market ila hata pa kuishi hana anaishi kwa mashoga. Ukiishi kwa kutegemea maisha wanayoishi wengine kwenye social media unaweza ukawa shoga au punda au malaya. Turidhike na tulipo. Tupiganie maendeleo kwa faida yetu sio kwa sababu ya fulani.
swadaqtaSijasema ni hater mkuu..namaanisha mambo ya huku ni ya hukuhuku na mtaani ni ya mtaani. BAK ametoa maelezo mujarab, inategemea na mtu anataka nini JF, kwangu cha kwanza ni kupata burudani, napunguza nyongo za stress zangu, pili elimu na updates za mambo mbalimbali.
Pia kuna watu wenye uzoefu wa kada mbalimbali huku, huwezi kupata hiyo fursa kwingine kwa wakati mmoja.
Safi tichaa vipi umepona kwenda primary?!mi kikwazo maths bwanaMwalimu mwenzangu mambo?
[emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji3] [emoji3] mie hapaaaaaNipo hapa Amsterdam airport.... km kuna mwana JF karibu asogee
Unafikiri this is my life kwa kweli tena ukiniona utafurahia shoo[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2]Safi sana, askirimu zinafaida nzuri...
HahahaaSafi tichaa vipi umepona kwenda primary?!mi kikwazo maths bwana
Twende Fair way shost sema ile jembe ni jembe imefulia sanaNjoo tule mbuzi hapa basihaya