Maisha ya ndoa na familia

How a man can place his purpose above his woman?

Je maumivu ya kufeli biashara yako yanaweza kuwa makubwa kuliko ku divorce na mke wako?

Nifundishe mimi nipo tayari kupokea ushauri wako.
Mwanaume ameumbwa na kupewa mission maalum hapa dunian kutimiza,,beside amepewa mwanamke pemben wa kumsaidia..

Mwanaume kama mbeba maono anatakiwa a stick na mission aliyopewa kwa nguvu zote na kutoa maelekezo kwa mwanamke nn anatakiwa kufanya na kumsimamia..

Mungu akiona upo hvo anakubless na kukulinda hata bila ya ww kumwomba sabb kile alichokutuma ndio umestic kukitekeleza..

Tatizo ni pale ww mwanaume uliepewa maono,, unaacha pambania maono Yako unahangaika kufurahisha na kumsikiliza msaidizi wako(mke) Ambae kiuhalisia yy hata hajui ww upo kwa ajili gan..anashangaa na ww unamfata wakat hajui hata anapoenda..hapo lazima akudharau na kukupiga chini na kwenda tafuta mwanaume mwengine anayejua anachotakiwa kufanya...

Na uyo Mungu atakupotezea tuu sabb yy ana protect na kusupport mwanaume anayetimiza mission aliyomtuma and not other wise...
 
Pole ,Sasa umefanikiwa kurejea maisha yako ya wastani au bado ? Una taaluma gani ? Achana na mapenzi jitafute kwanza utunze wanao
 
VINTAGE, unahisi ulikosea wapi kama Mwanaume?

Ungependa vijana wa kiume ambao bado hawajaoa wajifunze nini kwenye story ya maisha yako ?

Pole ,Sasa umefanikiwa kurejea maisha yako ya wastani au bado ? Una taaluma gani ? Achana na mapenzi jitafute kwanza utunze wanao
Bado nahangaika sana mkuu ila naamini nitasimama.
 
VINTAGE, unahisi ulikosea wapi kama Mwanaume?

Ungependa vijana wa kiume ambao bado hawajaoa wajifunze nini kwenye story ya maisha yako ?
Will Jr., jambo kubwa ambalo ningependa kushauri ni, kuchukua muda zaidi kujifunza kwa kina tabia za mwanamke unaemhitaji katika mahusiano ya ndoa kabla ya kuamua kuishi pamoja.
 
Pole sana mkubwa, hii story imenifundisha kuwa Wanawake sio watu wa kuamini. Nimeongeza asilimia tisini zaidi
 
Wanawake wana roho mbaya sana... Msitongozeke mkiwag kwa mahusiano
 
Maana halisi ya hustle 🫡🫡
 
Ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…