Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
-
- #41
Ujakosea ila kumbuka kuna wanaume pia wan midom siku izoIli ndoa iwe nuepes mwanamke hatakiwi kuwa jeur na mdomo mdomo mwng, hapo watu wanahesabu miaka labda mwanaume awe punguani sana
AWalioshindwa Wana manenooo
Sawq hali ipoje kwako kwenye ndoa yakoMtoto MDA mwingi Yuko na mama
Mtoto Anapobadilika lawama lazma Kwanza ziende kwa mama ake kabla ya baba
Ndo mapunguani hao, mwanamke sio jeur, hana kelele.....kelele uje uzianzishe mwanaume, ni kukosaa busara kukubwa sanaUjakosea ila kumbuka kuna wanaume pia wan midom siku izo
Unakuta mwanaume analalamika hela alioacha imetumika vibaya na aataki kula maharagwe kesi nying nilizo shuhudia coaches sana mwanaume ndio hawi mgoviNdo mapunguani hao, mwanamke sio jeur, hana kelele.....kelele uje uzianzishe mwanaume, ni kukosaa busara kukubwa sana
Mfano mzur apo Ni wife wanguNdo mapunguani hao, mwanamke sio jeur, hana kelele.....kelele uje uzianzishe mwanaume, ni kukosaa busara kukubwa sana
๐ ๐ ๐ haya mkali wa diagnosisAccording kwa wale walio oa kutokana na malamiko yao mara nyingi ukifanya diagnosis unatambua tatizo lipo wapi
Mng'ang'anie huyo, aisee population ya wanawake weng saiv wapenda fujo imekua kama lifestyle hiviMfano mzur apo Ni wife wangu
Hanaga shida wala makelele na mtu[emoji4]
Ilo ni wajibu wakeWife ananishaur Sana tu
ila hawez kua mwamuzi wa mwisho, Maamuz yote ya familia Mimi ndo final say
Hili watoto na wanafamilia wote wanalijua[emoji4]
Nimewaza tu kwa sauti sijao....,, anyway una hoja usikilizwe๐๐Sijao
Ahahah kwani wewe uwezi kufanya screening before counselling na ukifnya good diagnosis utatatua kwa uzur bilaa kuwa na bias๐ ๐ ๐ haya mkali wa diagnosis
Qhahah uko wapiNimewaza tu kwa sauti sijao....,, anyway una una hoja usikilizwe๐๐
Nieleweshe tafadhali ๐๐๐Qhahah uko wapi
Wapi ujaelewa mkuuNieleweshe tafadhali ๐๐๐
Ukiingia huku ndo utaelewa wewe uko kinadharia endelea tu na diagnosis ๐Ahahah kwani wewe uwezi kufanya screening before counselling na ukifnya good diagnosis utatatua kwa uzur bilaa kuwa na bias
Ahahah soon mimi nataman kuoa sna sna leo keshoUkiingia huku ndo utaelewa wewe uko kinadharia endelea tu na diagnosis ๐
tafadhali nialike๐Ahahah soon mimi nataman kuoa sna sna leo kesho
Utatoa mchangtafadhali nialike๐