Kuna rafiki yangu flani mdada ni msagaji, yaani yeye ni dem na anadem wake. Aiseeee wale watu wanapitia changamoto nyingi sana za magomvi, wivu uliopitiliza na hata imefikia yule rafikiyangu hawezi tena hata kufanya kazi ama biashara sababu dem wake hataki kumuona kabisa na dem mwingine hata wakiongea (kwamba anamla) na hataki kumuona na mwanaume hata wakisalimiana kwamba (analiwa).....😂 yaani hawa watu wanamaisha magumu sana kwakweli....🤣
Kwahiyo watu msiamini kwamba mapenzi ya jinsia moja ndio yanaamani, bakini njia kuu then itengenezeni furaha na amani kama tulivyo fanya mimi na mai waifu...😊