kita_jr
Member
- Jun 15, 2022
- 55
- 78
Kuna utajiri mikononi mwako kaangalia mbali ataki kuiacha iyo fursaMimi na mke wangu tulianza kua marafiki, na mabaya yangu pamoja na upuuzi wangu wote aliujua kabla hatujafunga ndoa.
Leo tunaendeleza urafiki wetu na tunaishi kwa furaha iliojaa amani tele, pamoja na kwamba kuna wakati tunatofautiana lakini tunakaa chini na kuzungumza kisha maisha yanaendelea.