Aladeen04
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 3,524
- 5,731
Ukweli mchungu sana huu thou ni jinsi tunavyoanza mahusiano kwa kujitia innocent kumbe mwamba alikuwa mlevi wa mkoa na binti alikuwa mali ya Umma. Mahusiano yakianza na urafiki mtaelewana tu ila siyo kwa standards za kipuuzi kuficha upumbavu uliowahi kuwa nao na ulionao.