Maisha ya sasa Mwanaume na Mwanamke ni maadui wakubwa, tusitegemee tena ndoa kudumu

Kuna utajiri mikononi mwako kaangalia mbali ataki kuiacha iyo fursa
 
Maisha yake kabla ya kuuwawa, na baadae aina ya kifo kilicho mpata
Nini tunajifunza kutokana na hilo! Ni kuacha kuchukulia watoto wetu kila wakati kuwa bado wadogo wakati wamekua. Ukichukulia uhalisia kuwa mtoto ni mtu mzima na ana uhuru wa kufanya afanyalo bila kibali chako, huwezi kupata Sonona. Shauri yake atajijua yeye na Mungu wake., hapo hutakuwa na guilty conciseness kwa mambo yake
 
πŸ’―
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…