Maisha ya ubachela ni mazuri sana na yenye furaha.

Red black

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2019
Posts
18,719
Reaction score
60,636
😀
Screenshot_20260511-152135~2.jpg
 
Ubachela ni mzuri sana, shida yake ni pale ukianza kuzeeka na nguvu kuisha!
Siku umezeeka, huwezi kufua, kupika, toilet unaenda kwa mkongojo, ukikojoa humalizi mikojo, mingine inabaki kwenye boxer. 😁

Hapo bado hujaugua magonjwa ya uzee! Nani atakubali kushika mikojo na haja kubwa ya mtu mzima mbali na mkeo?
Pigeni hesabu zenu vizuri, wanawake ndio wanazingua, ila bora ukapata chizi mmoja, mkavumiliana na mkajenga maisha. Kuna kuugua na uzee. 😄
 
Bwashee tunalizangatia hilo ndio maana tunasaka hela
 
Ubachela ni mzuri sana, shida yake ni pale ukianza kuzeeka na nguvu kuisha!
Siku umezeeka, huwezi kufua, kupika, toilet unaenda kwa mkongojo, ukikojoa humalizi mikojo, mingine inabaki kwenye boxer. 😁

Hapo bado hujaugua magonjwa ya uzee! Nani atakubali kushika mikojo na haja kubwa ya mtu mzima mbali na mkeo?
Pigeni hesabu zenu vizuri, wanawake ndio wanazingua, ila bora ukapata chizi mmoja, mkavumiliana na mkajenga maisha. Kuna kuugua na uzee. 😄
Kibunda...kikiwepo cha kutosha hayo yote yanatatulika kwa uwepes sana
 
Back
Top Bottom