Huyu mbona kafanana na Chizi Maarifa
Huenda ni yeye lol 😆Huyu mbona kafanana na Chizi Maarifa
Acheni uchoyo jamani 😂Tunakwepa sukari na pressure kwa wivu mkubwa
Upwiru tenaNi mazuri sana, lakini upwiru kaka
Malaika hao.Kwamba nyie hamzingui?
View attachment 3587636
Wanazingua kuliko kawaida na wao ndio chanzo cha wanawake wengi kuzingua!Malaika hao.
Kakuruhusu nani upige picha ghetto langu? [emoji23][emoji23][emoji16]
View attachment 3587626
Mnooo!! [emoji23][emoji23][emoji23]Ubachela ni Bata sana
Punguza mihemkoEndelea kujifariji
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Utashangaa pamoja na hayo lkn tukikutana viwanja vya kujidai bado sisi Tunaoishi na dada zenu bado tunawasambazia upendo.
😂😂😂😂😂😂😂
Sasa mnazozitafuta huwa mnapeleka waaaapi nyie mabachela!!!!?
😂😂 Shida sana, Sasa nani wa kuvumilia upwiruUpwiru tena
Yani hakuna kipindi kitqkatifu kama icho yani unakuwa kama nabii 😀
Bachelor ni mtu ambae amefikia stage ya kuoa lakini hajaoa haina maana asiwe na gf/partner.Ni mazuri sana, lakini upwiru kaka
Sawa sawa nimekupataBachelor ni mtu ambae amefikia stage ya kuoa lakini hajaoa haina maana asiwe na gf/partner.
We lainika tuu 😂Punguza mihemko